Mpango shirikishi kwenye kilimo nchini wazinduliwa
Taasisi ya kilimo Tanzania, Africa Food hivi karibuni ilizindua mpango kabambe na wa kimkakati wa kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo kwa mtindo wa ushirikishwaji kwa wadau wote wa kilimo…
Maadhimisho ya Siku ya Usafiri wa Maji duniani kuanza leo Septemba 23
Mkuu wa wilaya ya Musoma Mh Juma Chikoka amesema katika kuelekea maadhimisho ya siku ya usafiri wa maji duniani yana anza tarehe23 hadi 26 Septemba katika viwanja vya Mkendo ,manispaa…
Picha: Hali ilivyo kwenye maeneo mbalimbali kuelekea maandamano ya amani yaliyopangwa na CHADEMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kuanza maandamano ya amani hii leo ya kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni na mapendekezo ya Wadau mbalimbali kuhusu kushinikiza serikali juu ya kuchukua hatua…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 23, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 23, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Serikali imefanya makubwa Kibiti hakuna mfano tuiunge mkono -Hapi
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi, Ndugu.Ally Hapi (MNEC) amewahimiza Wananchi wilayani Kibiti Mkoani Pwani kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili iweze kukamilika kwa wakati na kwa…
Mapokezi ya Hapi Kibiti babu kubwaaa..
Mwenye macho haambiwi tazama! haya ni zaidi ya mahaba na mapenzi kwa chama cha mapinduzi kupitia Jumuiya ya wazazi yanayoineshwa na wanaccm wa Wilaya ya Kibiti mkoani pwani wakimpokea Katibu…
Tamasha la Utamaduni wa Mtanzania jamii ya Wanyakyusa kuanza Septemba 27
TAMASHA la Utamaduni wa Mtanzania Jamii ya Wanyakyusa, linatarajiwa kuanza Septemba 27 hadi 29, 2024 katika eneo la Kijiji Cha Makumbusho Kijitonyama Jijini Dar es salaam, lengo likiwa ni kuwakutanisha…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 22, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
RC Serukamba -Elimu ndio nguzo ya maendeleo ya jamii na uchumi
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amehimiza Wazazi na Walezi Nchini kuhakikisha watoto wao wanapata Elimu na kuwahimiza watoto hao juu ya Umuhimu wa Elimu kwani Elimu ndio…