Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 21, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 21, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 21, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 21, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Nyota wa zamani wa Man City atalazimika kustaafu kutokana na maumivu ya muda mrefu
Beki wa pembeni wa Sevilla Jesus Navas anasema anatatizika kufika mwishoni mwa Disemba kutokana na maumivu ya muda mrefu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38, ambaye alishinda Euro 2024…
Man United imesajili vijana wawili
The Athletic limeripoti kuwa Manchester United imekamilisha usajili wa Samuel Lusale na James Overy, wote wenye umri wa miaka 17. Lusale ni winga anayechezeshwa na Slovakia katika kiwango cha vijana…
Wapalestina 14 wauawa katika mashambulizi ya hivi punde
Majeshi ya Israel yamewaua takriban Wapalestina 14 katika shambulio la hivi karibuni la anga na makombora katika maeneo ya kaskazini na kati, kulingana na matabibu. Shirika la habari la Reuters…
Watoto nchini Burundi wanabeba mzigo mkubwa wa mlipuko wa mpox
Vijana wameathiriwa zaidi na milipuko ya Mpox barani Afrika, huku watoto chini ya miaka mitano wakichangia karibu theluthi moja ya visa hivyo nchini Burundi, shirika la Umoja wa Mataifa la…
Taiwani yasalia na adhabu ya kifo kwa Kesi ‘za Kipekee’,yachunguzwa zaidi
Mahakama ya Taiwan iliamua siku ya Ijumaa kubaki na adhabu ya kifo, lakini iliamua kwamba maombi yake yanapaswa "kuhusu hali za kesi maalum na za kipekee". Taiwani ya Kidemokrasia imetekeleza…
Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu waua 300 Sudan
Idadi ya vifo vinavyotokana na mlipuko wa kipindupindu nchini Sudan imeongezeka hadi kufikia 348, hiyo ni kulingana na Wizara ya Afya. Mlipuko huo umeathiri majimbo tisa, na zaidi ya wagonjwa…
Rwanda yaanza kamppeni ya chanjo ya Mpox
Rwanda imeanza kampeni ya kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Mpox kwa watu 300 walio hatarini zaidi na wanaoishi kwenye mipaka na nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.…
Manchester City, Arsenal kutoana jasho kwenye EPL Sept 22
Manchester City na Arsenal wanatarajiwa kuvaana katika Ligi Kuu ya Uingereza, siku ya Septemba 22, 2024. Safu ya ulinzi ya Arsenal inasifika kwa kuwa na safu imara ya ulinzi huku…