Takriban watu 44 wameuawa na kundi la waasi nchini Sudan
Takriban raia 44 wameuawa na wengine 28 kujeruhiwa katika shambulio lililotekelezwa na kikundi cha Sudan People's Liberation Movement-North (SPLM-N) kinachoongozwa na Abdelaziz al-Hilu huko Kadugli, mji mkuu wa jimbo la…
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika…
Rais Dkt. Samia Suluhu apokea tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kutoka kwa Rais wa Kitengo cha Usawa wa…
Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi mawasiliano, Ardhi na Nishati ZNZ waipongeza TASAC
KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI MAWASILIANO, ARDHI NA NISHATI ZANZIBAR, YAIPONGEZA TASAC Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi, Mawasiliano, Ardhi na Nishati Zanzibar, imelipongeza Shirika la Uwakala…
Uganda imeanza majaribio ya chanjo ya Ebola baada ya muuguzi kufariki
Uganda imezindua majaribio ya chanjo dhidi ya aina ya virusi vya Ebola nchini Sudan, kufuatia mlipuko wa ugonjwa huo uliosababisha vifo vya mtu mmoja na wengine wawili kuwaambukiza. Mgonjwa wa…
Cristiano Ronaldo hatimaye atatua mjadala wa Mchezaji Bora
Bila shaka, Cristiano Ronaldo ni mmoja wa wanasoka bora zaidi wa wakati wote, anabaki kuwa mmoja wa wanasoka waliopambwa zaidi wakati wote. Hakuna mchezaji anayecheza nchini Saudi Arabia kwa Al-Nassr,…
Julius Malema amtaka Rais Cyril Ramaphosa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya Rwanda
Kiongozi wa EFF, Julius Malema, amemtaka Rais Cyril Ramaphosa achukue hatua kali dhidi ya Rwanda, pamoja na kufunga Ubalozi wa Rwanda huko Pretoria baada ya askari wa Afrika Kusini kuuawa…
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa mwaka 2025 yatakuwa ya kipekee :Dkt. Gwajima
Imeelezwa kuwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa mwaka 2025 yatakuwa kwa namna ya kipekee yakibeba sura ya kipekee kwa kuwa yanaambatana na miaka 30 ya utekelezaji wa Azimio…
Afanya mazishi ya mkono wake uliokatwa kutokana na saratani
Eldiara Doucette, Mwanamke mwenye umri wa miaka 22 kutoka Marekani, amefanya mazishi ya kipekee kuuaga mkono wake wa kulia alioupoteza baada ya kukatwa kutokana na Saratani ya synovial sarcoma .…
Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea kuunga mkono juhudi za serikali
Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuboresha huduma mbalimbali zinazotolewa na Serikali, kwa…