Biden na Zelenskyy kuzungumzia vita vya Russia mjini Washington wiki ijayo
White House imetangaza Alhamisi kwamba Rais wa Marekani Joe Biden, Septemba 26 atafanya mazungumzo kwenye Ikulu hiyo na mwenzake wa Ukraine Volodymr Zelenskyy, kuhusu vita vinavyoendelea kati ya taifa lake…
Barcelona bado wanavutiwa na Mason Greenwood
Barcelona ilimtazama mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Mason Greenwood msimu uliopita baada ya kuonyesha kiwango kizuri cha mkopo katika klabu ya Getafe msimu uliopita. hayo pia yamethibitishwa na rais…
TBS washauri kabla hujanunua bidhaa Soma maelezo
WANANCHI wameshauriwa kabla ya kununua bidhaa wahakikishe wanasoma kwa umakini taarifa zilizopo kwenye vifungashio ili kujiridhisha kama bidhaa hizo zimethibitishwa ubora na kama hazijaisha muda wake wa matumizi pamoja na…
Vladimir Putin atembelea kiwanda cha kutengeneza ndege zisizo na rubani
Rais wa Russia Vladimir Putin siku ya Alhamis alitembelea kiwanda cha kutengeneza ndege zisizo na rubani na vifaa vya umeme vya kivita huko St. Petersburg. Putin ambaye aliongozana na maafisa…
Russia yaanza zoezi la kuandikisha maelfu ya wanajeshi wapya
Uamuzi wa Moscow wiki hii wa kupanua uwezo wake wa kijeshi ni dalili ya changamoto inazopitia Russia, kwenye mwaka wa tatu wa uvamizi wake dhidi ya Ukraine, huku ukionekana kujikokota.…
Naibu Waziri mkuu aagiza kuimarishwa ufuatiliaji na tathmini kuleta maendeleo
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko amezitaka taasisi za ufutiliaji na tathmini kufanya kazi kwa weledi na kuimarisha eneo hilo ili kuendana na mahitaji yanayolenga kuleta…
Man United inaungana na Barcelona katika kinyang’anyiro cha kumsajili kiungo mwenye umri wa miaka 25
Kiungo wa kati wa Atalanta Ederson Dos Santos amekuwa akihusishwa na kutaka kuondoka katika klabu hiyo wiki za hivi karibuni. Kulingana na ripoti kutoka kwa Fichajes, kiungo huyo wa kati…
Habari njema kwa Ancelotti,Camavinga anaweza kupatikana kwenye Madrid derby
Kiungo Mfaransa Eduardo Camavinga anatarajia kucheza kwa mara ya kwanza msimu wa 2024/25. Alipata jeraha kabla tu ya Kombe la Uropa la Super Cup dhidi ya Atalanta na amekuwa nje…
Nishati safi inamuondolea adha mtoto wa kike – Kijaji
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema uwepo wa Nishati Safi ya Kupikia kunamuokoa mtoto kike na athari (adha) zitokanazo na…
Mikakati yapangwa katika kutatua changamoto kwa magonjwa yasiyoambukiza shuleni
Uanzishwaji wa Mitaala ya ufundishaji kuhusu magonjwa yasiyoambukiza shuleni,upimaji wa magonjwa kwa wanafunzi,kauli nzuri za watoto kwa wazazi na upimaji wa mara kwa mara ni moja ya mikakati iliyoidhinishwa katika…