Viongozi wa dunia kukutana katika Umoja wa Mataifa wakati ambapo migogoro inaongezeka
Viongozi wa dunia watakutana katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York kuanzia Jumapili kwa ajili ya mkutano wa kila mwaka wa shirika hilo dhidi ya milipuko ya vita…
Urusi yashambulia kituo cha wagonjwa cha Ukraine na gridi ya umeme
Vikosi vya Urusi vilipiga kituo cha wagonjwa katika mji wa Sumy wa Ukraine na kulenga sekta yake ya nishati katika wimbi jipya la mashambulizi ya anga siku ya Alhamisi, na…
Waratibu wa Mkoa na Ufuatiliaji wa Magonjwa toka Mikoa 26 wakutana mkoani Iringa
Wizara ya Afya kupitia Idara ya Kinga katika udhibiti na Ufuatiliaji wa magonjwa imefanya kikao cha mapitio ya utekelezaji wa Shughuli za Ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa yaliyopewa kipaumbele ngazi…
Israel imezuia kuingia kwa asilimia 83 ya msaada wa chakula katika Ukanda wa Gaza
Israel imezuia kuingia kwa asilimia 83 ya msaada wa chakula katika Ukanda wa Gaza, karibu mwaka mmoja baada ya kuanza kwa vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika…
Katibu Mkuu wa Hezbollah aapa kugeuza Israel kuwa “kuzimu”
Katibu Mkuu wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, aliapa kugeuza Israel kuwa "kuzimu", Alhamisi, baada ya kundi hilo kupata "pigo kubwa" wakati vifaa vya mawasiliano vilipolipuliwa mapema wiki hii nchini Lebanon, Shirika…
Operesheni yawanasa usiku wanaovunja sheria za barabarani Arusha, watuhumiwa wadakwa
Ikiwa ni mwendelezo wa operesheni ya nchi nzima inayofanywa na kikosi cha Usalama Barabarani ili kuzuia ajali imeendelea kutoa elimu ya usalama barabarani kwa abiria na watumiaji wa vyombo hivyo…
SAMIA CUP yazinduliwa Morogoro
Morogoro Kusini Mashariki inajengwa kwa sauti zaidi ya moja zenye kupaza juu mafanikio kwa kila sekta. Kwetu sisi kuamua ni jambo tusiloweza kuliacha kwa maana tunajua kuwa upo uwezekano wa…
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yashinda Tuzo ya Ubora katika Usalama
Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) imepokea tuzo ya kuwa Kiwanja chenye Ubora wa Usalama…
Maendeleo ni makubwa nchini, Watanzania tumuunge mkono Rais Samia-Mathias Canal
Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anapaswa kutiwa moyo na kuungwa mkono kwa maendeleo makubwa anayoyafanya kwa ajili ya watanzania sio kubezwa au kumkejeli.…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 20, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 20, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.