Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 20, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 20, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mbarawa akoshwa naTPA ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay
Waziri wa Uchukuzi Mheshimiwa Makame Mbarawa ameisifu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) kwa utekelezaji wa ujenzi wa bandari mpya na ya kisasa ya Mbamba Bay inayojengwa pembezoni mwa…
Mwanamke kutoka nchini Thailand ameokolewa na polisi baada ya kunyongwa na chatu kwa zaidi ya saa mbili.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 64 aliyemtaja kwa jina la Arom, alikuwa akiosha vyombo nyumbani nje kidogo ya mji mkuu wa Thailand alipohisi kuumwa mara kadhaa kwenye mguu wake,…
Ronaldo hadhibiti klabu ya Al Nassr -Guido Fienga
Mkurugenzi Mtendaji wa Al Nassr Guido Fienga amezungumzia jukumu muhimu Cristiano Ronaldo analo katika timu, lakini akasema nahodha huyo wa Ureno "hadhibiti klabu." Fienga aliulizwa kuhusu Ronaldo wakati wa hafla…
Mabomba ya umwagiliaji shamba la Mbegu (ASA) Msimba yaungua moto
Zao la mbaazi katika shamba la wakala wa Mbegu (ASA) Msimba lililopo Wilaya ya Kilosa Mkaoni Morogoro zimenusurika kutetekea kwa moto baada ya mtu asiyejulikana kuwasha moto shamba hilo na…
Baidoo kwenye rada ya Barcelona
Barcelona ni moja ya klabu kadhaa zinazomfuatilia beki wa FC Salzburg Samson Baidoo, kwa mujibu wa Diario Sport. Baidoo, 20, amekuwa Salzburg tangu 2018 na amekuwa sehemu ya kikosi cha…
Mwanaume wa Hong Kong ahukumiwa kifungo cha miezi 14 kwa kuvaa T-shirt yenye maneno ya kichochezi
Mwanamume mmoja wa Hong Kong alihukumiwa kifungo cha miezi 14 jela siku ya Alhamisi (Sep 19) kwa kuvaa t-shirt yenye maandishi ya maandamano yaliyopatikana kuwa ya "uchochezi" chini ya sheria…
“Ngazi za Uongozi kuwe na Wanawake na Wanaume” Kairuki
Programu ya Jukwaa la Kizazi chenye Usawa (GEF), Tanzania imejizatiti kutekeleza uwiano sawa kati ya wanaume na wanawake. Kamati ya Kitaifa ya Ushauri (GEF) ilianzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan…
Watu Laki 4 wamekimbia makazi yao kutokana na mafuriko Nigeria
Mafuriko makubwa siku ya Jumatano (Sep. 18) yaliendelea kukumba kaskazini mashariki mwa Nigeria, na kuathiri zaidi ya watu 400,000, kulingana na Umoja wa Mataifa. Huko Maiduguri, mji mkuu wa jimbo…
Mshukiwa aliyetajwa kupanga njama ya kumuua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anaswa
Raia wa Israel aliyekamatwa kwa tuhuma za kuhusika katika njama ya mauaji inayoungwa mkono na Iran inayomlenga Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametajwa kuwa Moti Maman mwenye umri wa…