Mashirika yasiyo ya kiserikali ya Uturuki kufanya maandamano ya mshikamano na Gaza siku ya mwaka mpya
Mashirika ya kiraia ya Uturuki yatafanya maandamano mjini Istanbul Januari 1 kuonyesha mshikamano na Palestina, ambako Israel inaendeleza mashambulizi yake ya kikatili. Jukwaa la Mapenzi ya Kitaifa, linalojumuisha mashirika 308…
Mahakama ya Korea Kusini yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani
Mahakama ya Korea Kusini ilitoa hati ya kukamatwa Jumanne kwa Rais aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol, kulingana na shirika la habari la Yonhap. Mahakama ya Wilaya ya Magharibi ya Seoul…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 31, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 31, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 31, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 31, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 30, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 30, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 30, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 30, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Rais Dkt. Samia anamchango mkubwa kwenye Maendeleo Ruangwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Wilaya ya Ruangwa imepiga kasi kubwa ya maendeleo ambayo imewawezesha wakazi wa Wilaya hiyo kushiriki kikamilifu katika shughuli mbalimbali za kiuchumi. Amesema kuwa Wilaya…
Ajali ya ndege ya Korea Kusini yaua watu 179 huku uchunguzi unaendelea
Vifo 179 vimethibitishwa katika mojawapo ya maafa mabaya zaidi ya anga nchini Korea Kusini, yaliyotokea katika uwanja wa ndege kusini magharibi mwa nchi hiyo siku ya Jumapili. Baadhi ya…
Mr TZ katuletea hii nyingine akiwa na mrembo Brandy Bramer itazame ‘Too Much’
Ni Mkali Mr TZ ambae time hii ametuletea hii video mpya wimbo wake aliyomshirikisha Brandy Bramer uitwao Too Much. Unaweza ukabonyeza play kuutazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili wao…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 29, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.