Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 4, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 4, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Serikali yasisitiza maadili kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii
Naibu Waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis mwinjuma amesema Serikali imekuwa ikichukua hatua mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya kasi ya teknolojia hasa kwa maudhui yanayopitia kwa…
Rais Cyril Ramaphosa amjibu Donald Trump
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemjibu Rais wa Marekani wa wakati huo, Donald Trump, baada ya Trump kutangaza kusitisha misaada kwa taifa hilo akidai kuwa kuna ukiukwaji wa haki…
Magari 150 ya zimamoto yanunuliwa na kusambazwa nchi nzima: Bashugwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuliimarisha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kulipatia vitendea kazi ambapo sasa inatekeleza mradi wa ununuzi vifaa…
Serikali inapanga kununua helikopta kwa ajili ya uchunguzi wa madini nchi nzima
Serikali inapanga kununua helikopta kwa ajili ya uchunguzi wa madini nchi nzima ili kuwasaidia wachimbaji wadogo kutambua maeneo yenye madini na kuyafikia kwa urahisi. Akitoa taarifa ya Wizara ya Madini…
Musk aliita shirika la USAID “shirika la uhalifu”
Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) linafaa "kufa" huku kukiwa na ripoti kwamba maafisa wawili wakuu wa usalama katika wakala wa misaada waliwekwa likizo kwa kuwanyima…
Doto Biteko aonya makundi ndani ya chama kuelekea uchaguzi
Mjumbe wa Halmashaur Kuu ya CCM Dkt. Doto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ameonya uwepo wa makundi ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi badala nguvu…
Rais Mwinyi:SMZ kushirikiana na madhehebu ya dini kuhubiri amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameleeza kuwa Serikali iko tayari kushirikiana na Madhehebu ya Imani zote kuhubiri Amani ,kudumisha Upendo na Umoja…
Wassira atembelea kaburi la Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere Butiama
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari 3, 2025 akiwa ziarani mkoani Mara…
Ofa ya Euro Milioni 100 kwa Rafael Leão yakataliwa na AC Milan
AC Milan imeweka wazi kuwa haiko tayari kuachana na mmoja wa wachezaji wake muhimu . Klabu ya Italia imeamua kukataa ofa hiyo kubwa ya kifedha kutoka soka ya Saudi, ikisisitiza…