Chelsea wamekubali mkataba wa mkopo kwa Ben Chilwell kujiunga na Crystal Palace
Ben Chilwell anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu katika klabu ya Crystal Palace leo huku akikamilisha uhamisho wa mkopo kutoka Chelsea kwa miezi sita ijayo. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza…
Inter yakamilisha ofa ya uhamisho wa Petar Sucic
Inter Milan wamefanikiwa kumsajili Petar Sucic kutoka Dinamo Zagreb kwa ada ya Euro milioni 14, na nyongeza ya Euro milioni 2 katika bonasi zinazohusiana na utendaji. Mchezaji huyo wa kimataifa…
Wamuua dada yao ili kutengeneza content ya TikTok
Katika hali ya kushangaza, mwanamke mwenye umri wa miaka 20 anadaiwa kupigwa risasi na kaka zake huko Jhelum Pakistan ikiwa ni namna ya kutengeneza video za TikTok. Kulingana na ARY…
Sergio Ramos anajiunga na Rayados de Monterre
Gwiji wa soka wa Uhispania Sergio Ramos anarejea uwanjani akiwa na umri wa miaka 38, na anafanya hivyo kwa mkataba mnono. Nahodha huyo wa zamani wa Real Madrid ametia saini…
Juventus yafanikiwa kumnasa Lloyd Kelly
Juventus wamefanikiwa kumsajili beki wa kati Lloyd Kelly kutoka Newcastle United. Mwingereza huyo mwenye umri wa miaka 26 aliwasili Turin Jumapili jioni ili kufanyiwa vipimo vya afya, na kukamilisha uhamisho…
Alvaro Morata atua Galatasaray
Galatasaray imemsajili mshambuliaji wa AC Milan Alvaro Morata kwa mkopo kutoka klabu ya Italia kati ya Februari 2025 na Januari 2026 kwa euro milioni 6 (USD 6.14 milioni), klabu ya…
Alicia Keys atoa ujumbe muhimu kwenye tuzo za Grammys za 2025
"Kamwe usiache kuwa kama wewe"hayo yalikuwa maneno ya kutia moyo kutoka kwa Alicia Keys, ambaye aliyazungumza siku ya Jumapili usiku baada ya kukabidhiwa tuzo ya Dr. Dre Global Impact. Akiandamana…
One Love ya Bob Marley yashinda tuzo ya Grammy “Best Reggae Album”
Wimbo wa Bob Marley "One Love" uliotoka mwaka 1965 umeshinda tuzo za Grammy 2025 kama "Best Reggae Album" akiwashinda wanamuziki wengine kama Collie Buddz's "Take It Easy" Shenseea's "Never Gets…
Grammy 2025 ‘The song of the year’ yaenda kwa “Not Like Us” ya Kendrick Lamar
Kendrick Lamar ameshinda tuzo ya wimbo bora wa mwaka wa "Not Like Us," ikiwa ni ushindi wake wa pili mkubwa katika hatua za mwisho za Tuzo za Grammy za 2025.…
Watazamaji wa Grammys yachangia Dola milioni 7 kwa misaada ya moto LA :Trevor Noah
Washindi wa Grammys wamechangisha angalau dola milioni 7 kusaidia watu walioathiriwa na janga la moto huko Los Angeles hadi sasa. Mtangazaji wa kipindi hicho, Trevor Noah, alisema kuwa jumla ni…