Uchungunzi wa WHO haukubaini ugonjwa wa ajabu DRC
Wataalamu wa kimataifa katika sekta ya afya wanaamini kwamba wimbi la magonjwa katika eneo la mbali la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambayo ilikuwa imepewa jina la "Disease X", limesababishwa…
Putin aomba radhi juu ya ndege ya abiria kudunguliwa na kombora la Urusi na kuua watu 38
Rais wa Urusi Vladimir Putin siku ya Jumamosi alimpigia simu Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev kuhusu ajali ya ndege ya Azerbaijan Airlines iliyotokea wiki hii huko Kazakhstan, na akatoa pole…
Pep Guardiola aapa kuipambania Man City kupigania matokeo
Pep Guardiola ameapa hataacha kuwa na imani na klabu anayoinoa huku akijitahidi kuirejesha Manchester City iliyopotea. Bosi huyo wa City pia anakataa kunyooshea kidole cha lawama kwa wachezaji wowote huku…
Ruben Amorim anpakibarua kizito Man U
Ruben Amorim anajua kibarua chake kitakuwa hatarini iwapo Manchester United wataendelea kung'ang'ania lakini kocha mkuu ameridhika na shinikizo hilo. Ahadi ya awali baada ya kuchukua nafasi ya Erik ten Hag…
Dua Lipa awaacha midomo wazi mashabiki ,achumbiwa rasmi
Dua Lipa amezua gumzo za shangwe kwenye sherehe ya Krismasi baada ya kutangaza kuwa amechumbiwa Mwimbaji huyo wa Radical Optimism alienda kwenye Instagram yake kuonesha pete yake ya uchumba .…
Real Madrid yaamua kubadili jina la uwanja wa Santiago Bernabeu!
Gazeti la Marca liliripoti kuwa uongozi wa Real Madrid uliamua kubadili jina la uwanja wa kihistoria wa klabu hiyo, Santiago Bernabeu, kwa sababu za masoko. Uwanja wa Santiago Bernabeu ulianzishwa…
Rais Samia atoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watu wenye uhitaji maalum Tabora
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Msaada wa mahitaji mbalimbali katika vituo vya kulelea watu wenye mahitaji maalumu cha igambilo,kazima na kituo cha makazi…
Vinicius Junior alistahili kushinda Ballon d’Or ya 2024 :Ronaldo
Gwiji wa soka Cristiano Ronaldo amekiri kwamba Vinicius Junior alistahili zaidi kushinda Ballon d’Or ya 2024 kuliko Rodri. Kauli za Don zilikuja kando ya ushiriki wake katika hafla ya Tuzo…
Amorim ameiomba United kumsajili Nuno Mendes
Ruben Amorim anaonekana kupanga kutegemea raia wenzake, Ureno, katika jaribio lake la kuirejesha Manchester United kwenye mwanga wa mafanikio zaidi Kwa mujibu wa The Sun, Amorim ameiomba United kumsajili Nuno…
Cristiano Ronaldo kuwa kocha atakapo staafu
Gwiji wa soka Cristiano Ronaldo alithibitisha kuwa hana mpango wa kufanya kazi ya ukocha baada ya kustaafu soka. Hii ilikuja wakati wa mahudhurio ya Don katika hafla ya Tuzo za…