Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 2, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 2, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Ijue Michezo Pendwa zaidi ya Kasino Tanzania
Sekta ya kasino mtandaoni nchini Tanzania imekua kwa kasi kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Tangu 2018, sekta hii imepanuka kwa haraka, ikichochewa na ongezeko la upatikanaji wa intaneti na…
Watumishi wa afya mkoa wa Tanga wamuunga mkono Dkt samia
Watumishi wa afya mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la uchangiaji damu pamoja na kutoa elimu ya afya kwa wananchi, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za…
Watu 700 wameuawa mpaka sasa huko Goma
Kulingana na ripoti Umoja wa Mataifa unasema kuwa takriban watu 700 wameuawa katika mapigano makali huko Goma, mji mkubwa zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, tangu Jumapili. Msemaji…
Tanzania imejipanga maandalizi ya CHAN na AFCON
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga vyema kukamilisha maandalizi yote muhimu ikiwemo miundombinu kwa ajili ya Michuano ya Mpira wa Miguu kwa Nchi za Africa CHAN na AFCON. "Tanzania…
Kadansee la mama Samia leo
Ni siku ya Burudani kwa wapenzi wa Muziki wa Dance nchini ambapo Bendi zaidi ya 10 zinakutana viwanja vya leaders Dar Es salaam kufurahia Muziki huo kupitia tamasha maalumu la…
Wapiga kura Wapya 431,016 kuandikishwa Mkoa wa Tanga na Pwani
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufani Mhe. Jacobs Mwambegele, amefungua mkutano wa siku moja na wadau wa uchaguzi mkoani Tanga leo, Februari 1, 2025.…
Ukinunua na kuuza bidhaa dai risiti Ili kuepusha usumbufu : Shaga Gagunda
Jamii imetakiwa kutambua umuhimu wa kuchukua risiti za kielectroniki pindi wanapo nunua bidhaa ili kushiriki vyema katika ulipaji wa kodi kwa maendeleo ya taifa. Hayo yamezungumzwa na Shaga Gagunda Ofisa…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.