Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 1, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Kusherehekea miaka 48 ya CCM, Msasani watoa msaada
Kuelekea kuadhimisha siku ya Kuzaliwa ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Msasani wameungana pamoja katika Dua maalum pamoja na kutoa msaada kwa…
Serikali Yazindua Sera Mpya ya Elimu: Je, Itakuwa Mkombozi wa Ajira kwa Vijana?
Serikali ya Tanzania imezindua rasmi Sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la 2023, hatua inayolenga kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya elimu. Uzinduzi huo ulifanyika jijini…
Str8upvibes na Grooveback wairejesha burudani hii kwa watanzania ‘NTA5’
Miaka Kadhaa iliyopita Grooveback Entertainment chini ya Peter Moe ilikuwa inafanya burudani zake Rhapsody's Viva towers. Baada ya muda wakaungana na Str8UpVibes ikatokea kitu kinaitwa No Tie After 5 Moja…
“Nyumba za watumishi wa CCM zikamilike Kwa wakati”MCC Rajabu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, MCC Rajabu Abdalah, ametoa agizo kwa kila wilaya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kujenga nyumba za watumishi wa chama na jumuiya zake…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 31, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 31, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 31, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 31, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Malaigwanani zaidi ya 70 Monduli watoa tamko kwa Rais samia,Mbunge Fred aungana nao
Viongozi wa jamii wa kimasai Malaigwanani Zaidi ya sabini katika wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wametoka tamko la kukipongeza chama cha Mapinduzi CCM kwa kumpitisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan…
Mamia wabeba mabango ya wakuu wa nchi za Afrika na kujiachia forodhani
Wananchi wa Mikoa mbali mbali ya Bara na Visiwani Zanzibar wamefanya maandamano yaliyoanzia Darajani Mjini Unguja hadi Forodhani kwa lengo la kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dkt Samia kwa kuuleta…
Mshauri wa Mufti kwenye masuala ya jamii Sheikh Muhammad Iddi afariki
Sheikh maarufu nchini, Sheikh Muhammad Iddi (Abuu Iddi) ambaye ni Mshauri wa Mufti kwenye masuala ya Jamii na Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mnyamani uliopo Buguruni Jijini Dar es salaam,…