Waasi wa M23 waendelea kusonga mbele kuelekea jimbo la Kivu kusini
Kikundi cha waasi wa M23 kinadaiwa kuwa kinaendelea kusonga mbele kuelekea maeneo ya kusini mwa jimbo la Kivu mara baada ya kutwaa jimbo la Goma, shirika la habari la AFP…
Watu wasiopungua 20 wafariki kwenye ajali ya ndege Sudan Kusini
Watu wasiopungua 20 wameuawa nchini Sudan Kusini baada ya ndege kuanguka muda mfupi baada ya kupaa Msemaji wa Mamlaka ya anga ya Sudan Kusini, amesema watu 21, wakiwemo raia wa…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 30, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 30, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 30, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 30, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Trump anaweza kumshawishi Putin kuingia kuikubali amani:
Katika mahojiano na Fox News, rais wa Ukraine alimtaka Trump kuwa upande wa nchi yake kwani matumaini yake ni kufanya kazi na rais wa Marekani ya kuleta amani Zelenskyy sasa…
Tanzania na Somalia zasaini Mikataba miwili kushirikiana na katika Ulinzi na Usalama
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini Mikataba miwili ya makubaliano ya kushirikiana na katika masuala ya Ulinzi ma Usalama na kubadilishana Wafungwa.…
Vinícius Júnior ameamua kusalia Real Madrid
Mshambuliaji wa Brazil Vinícius Júnior ameamua kusalia Real Madrid licha ya ofa kubwa kutoka Saudi Arabia. Hili lilithibitishwa na kocha wa timu hiyo, Carlo Ancelotti, ambaye aliangazia furaha ya mchezaji…
Tanzania na Burundi zimesaini mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR
Tanzania na Burundi zimesaini mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR Kilomita 282 kutoka Uvinga mpaka Musongati nchini Burundi kwa gharama ya Sh. Trilioni5. ambapo inaelezwa kuwa mradi huo…
Elon Musk ainadi SpaceX kuwa itaokoa wanaanga wawili waliokwama kwa muda sasa
Bilionea na mkurugenzi Mtendaji wa SpaceX Elon Musk ameingia kwenye gumzo baada ya chapisho lake kwenye mtandao wake wa X, akidai kwamba Rais Donald Trump ameiomba SpaceX kuingilia kati kuwaokoa…
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim akagua kituo cha nyuklia
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amekagua kituo kinachozalisha nyenzo za nyuklia na kutoa wito wa kuimarishwa kwa uwezo wa nyuklia wa nchi hiyo, vyombo vya habari vya serikali…