Korea Kusini yapiga kura kumtimua kaimu rais
Korea Kusini imepiga kura ya kumuondoa madarakani kaimu rais wake wiki mbili baada ya bunge kupiga kura ya kumshtaki rais wake Yoon Suk Yeol. Jumla ya wabunge 192 walipiga kura…
Ufaransa yaimarisha sheria za mitandao ya kijamii kwa watoto chini ya miaka 15
Ufaransa imeendelea kushikilia makali yake tangu 2023 kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 15 kupata idhini ya wazazi kujiandikisha kwenye mitandao ya kijamii, ambayo inahitajika kutekeleza mfumo…
Vyuo vikuu vya Marekani vyawashauri wanafunzi wa kimataifa kurejea kabla ya kuapishwa kwa Trump
Vyuo vikuu vingi nchini Marekani vimekuwa vikiwashauri wanafunzi wao wa kimataifa kurejea mapema huku kukiwa na wasiwasi kwamba rais mteule Donald Trump anaweza kurejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya…
Familia za mateka wa Israel zatishia kumshtaki Netanyahu
Familia za mateka wa Israel huko Gaza zilitishia hatua za kisheria siku ya Alhamisi dhidi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wakimtuhumu kwa kuzuia mpango wa kubadilishana wafungwa na Wapalestina. "Tutawasilisha…
Raia wa Marekani ahukumiwa kifungo cha miaka 15 kwa kukusanya data za maumbile ya raia wa Urusi
Raia wa Marekani Eugene Spector amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kukusanya data za vinasaba za raia wa Urusi kwa Pentagon, Idara ya Usalama ya Shirikisho la Urusi (FSB)…
Mwanajeshi wa Korea Kaskazini akipigania Urusi atekwa nchini Ukraine: Korea Kusini
Mwanajeshi wa Korea Kaskazini aliyetumwa kusaidia Urusi katika vita vyake dhidi ya Ukraine ametekwa na vikosi vya Ukraine, Korea Kusini ilithibitisha Ijumaa. "Kupitia taarifa za wakati halisi na shirika la…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 27, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 27, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Wakala wa Dani Olmo azua utata kuhusu mustakabali wake na Barcelona
Wakala wa nyota wa kimataifa wa Uhispania, Dani Olmo, aliibua utata kuhusu hatma yake na FC Barcelona, kabla ya kipindi kijacho cha msimu wa baridi wa 2025. Mchezaji huyo wa…
Musk ashauri viongozi waliochaguliwa wafanyiwe majaribio ya utambuzi wa akili
Bilionea Elon Musk hatimaye alipendekeza kupima uwezo wa kiakili wa maafisa waliochaguliwa ambao wataitumikia Marekani katika muhula wa rais mteule Donald Trump na wazo hilo lilikuja kufuatia maswala ya kiafya…