Marekani yapokea wakimbizi 207 kutoka Tanzania
Jumla ya wakimbizi 257 wamepelekwa nchi ya tatu ambapo 207 wameenda Marekani,34 nchini Canada na 16 wakielekea nchini Sweden kuanzia tarehe 1 mpaka 24 Januari,2025 huku serikali ikitangaza suluhisho la…
Mario Hermoso anakaribia kujiunga na Bayer Leverkusen
Mwandishi wa habari maarufu, "Florian Blainberg", alisema kupitia akaunti yake rasmi kwenye mtandao wa kijamii wa "X" kwamba beki wa Uhispania Mario Hermoso anakaribia kuhamia klabu ya Bayer Leverkusen ya…
Bashungwa aingia mtaani kujionea polisi ilivyoimarisha usalama mkutano wa nishati – Dar
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amepita baadhi ya maeno Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Usalama wanavyotekeleza majukumu…
Manchester United yakamilisha dili kutoka kwa Arsenal
Manchester United waliamua kumsajili beki chipukizi wa Arsenal Aydin Hevin ambapo chanzo cha habari kinasema kuwa Haifin alikuwa akifanyiwa uchunguzi wa kimatibabu huko Manchester United, na mikataba ilitiwa saini. Ruben Amorim…
Ajinyonga akiwa amevalia mavazi ya mpenzi wake aacha ujumbe
Kijana mmoja anayejukikana kwa jina la Elirehema Ernest anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 31 mkazi wa kijiji cha Oldadai kata,ya Sokone 11 Wilayani Arumeru Mkoani Arusha amefariki dunia kwa…
Luis de la Fuente aongeza mkataba na Uhispania hadi 2028
Shirikisho la Soka la Uhispania (RFEF) limetangaza rasmi kuongeza mkataba wa kocha mkuu wa timu ya taifa Luis de la Fuente. Makubaliano hayo mapya yatamweka kuwa msimamizi wa La Roja…
Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Nishati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika-Misheni…
PICHA: Rais Samia Suluhu aliposhiriki mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika
PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan Katika Matukio tofautitofauti aliposhiriki Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika - Misheni 300 uliofanyika…
Mataifa ya Afrika yanayoongoza katika vita vya kipindupindu barani: WHO
Ethiopia, Kenya, na Zambia zimeibuka kama "vielelezo vya maendeleo" katika bara baada ya kufikia 70% au zaidi katika lengo la kutokomeza kipindupindu duniani mwaka 2030, WHO inasema. Shirika la Umoja…
Umoja wa Mataifa umetoa onyo kali kuhusu hali mbaya ya kibinadamu DRC
Umoja wa Mataifa umetoa onyo kali kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mapigano kati ya jeshi na waasi wa M23 yameenea hadi Goma, jiji lenye…