Sudan Kusini yaondoa marufuku ya TikTok, Facebook baada ya malalamiko
Sudan Kusini imeondoa marufuku yake ya ufikiaji wa Facebook na TikTok, iliyowekwa wiki iliyopita baada ya video za picha zinazodaiwa kuonyesha mauaji ya raia wa Sudan Kusini nchini Sudan kusambaa,…
Microsoft katika mazungumzo ya kununua programu ya TikTok
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Microsoft ni miongoni mwa kampuni zinazofikiria kununua hisa za TikTok ili jukwaa hilo liepuke kupigwa marufuku kwa misingi ya usalama wa taifa. Alipoulizwa Jumatatu…
Trump asisitiza juu ya wazo lake la kuwahamisha Wapalestina kutoka Gaza
Rais wa Marekani Donald Trump Jumatatu alisisitiza pendekezo lake la kuwahamisha Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza kupitia matamshi yake kwamba angependa kuwafanya waishi katika eneo ambalo wanaweza kuishi bila usumbufu…
Halmashauri ya Mji wa Kibaha yapandishwa hadhi na kuwa Manispaa
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, ameweka wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Halmashauri ya Mji wa Kibaha kupandishwa hadhi na kuwa Manispaa. Mchengerwa ameeleza kuwa…
Tume ya Madini yaainisha mipango ya kuwawezesha wachimbaji wadogo wa madini chunya
KATIKA kuhakikisha Tume ya Madini inavuka lengo la ukusanyaji wa dau shilingi Trilioni Moja kwa mwaka 2024/2025 lililowekwa na Serikali, mikakati mbalimbali imeendelea kuwekwa na Tume ikiwa ni pamoja na…
Trump atia saini amri ya kuunda upya jeshi la Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump alitia saini amri tano za utendaji Jumatatu ambazo zitabadilisha jeshi, kulingana na White House. Akiwahutubia Warepublikan huko Miami, Florida mapema, Trump alitangaza kwamba atatia saini…
Mamia kwa maelfu ya Wapalestina wanarejea kaskazini mwa Gaza
Mamia kwa maelfu ya Wapalestina walifurika kurejea kaskazini mwa Gaza siku ya Jumatatu baada ya Israel kufungua vituo vya ukaguzi vya kijeshi vilivyokuwa vimegawanya ukanda huo kwa zaidi ya mwaka…
Afungwa jela kwa kosa la kuwasaidia wanawake wa China kusafiri ili kujifungua nchini Marekani
Mwanamke wa California alihukumiwa siku ya Jumatatu kifungo cha zaidi ya miaka mitatu jela katika kesi ya muda mrefu kwa kilichosemekana kuwa biashara yakusaidia wanawake wajawazito wa China kusafiri hadi…
Mjane ajenga nyumba kwa kuuza maziwa baada ya kuwezeshwa na Tasaf
Halima Idd mjane mwenye umri wa miaka 55 mkazi wa kata ya Magomeni Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro amefanikiwa kujenga nyumba ya kisasa baada ya kufanya biashara ya kuuza maziwa…
Netanyahu kukutana na Trump huko Washington wiki ijayo – ripoti
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anapanga kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington mapema wiki ijayo, kulingana na ripoti, huku mamia ya maelfu ya watu wa Palestina…