Rais wa Yanga SC akabidhiwa rasmi ofisi
Rais wa Yanga SC na Rais wa Chama cha Vilabu barani Afrika (ACA) Hersi Said leo amekabidhiwa rasmi Ofisi na sasa Makao Makuu ya ACA yatakuwa nchini Morocco. Hersi amekabidhiwa…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 28, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 28, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 28, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Dkt Biteko atoa pole kwa Wanabukombe kufuatia tukio la radi
Nimepokea taarifa ya vifo vya watoto wetu wa Businda sekondari kwa masikitiko makubwa. Naomba kuwapa pole sana wazazi, walezi, walimu, wanafunzi wa shule ya sekondari Businda na ndugu wote waliguswa…
Wanafunzi 7 wapigwa na radi na kufariki dunia wengine 82 wajeruhiwa Bukombe
Mvua zinazoendelea kunyesha katika Mkoa wa Geita zimesababisha Wanafunzi saba wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Businda iliyopo Wilayani Bukombe Mkoani Geita kupoteza Maisha na 82 kujeruhiwa baada…
Trump kusitisha misaada,TACAIDS yawatoa hofu watumiaji ARV’s
Kaimu mkurugenzi mtendaji wa tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt.Catheren Joachim amesema serikali ya Tanzania itaendelea kulinda usalama wa wananchi kwa kuhakikisha wanaendelea kuwa na afya huku akiwatoa hofu…
Mwenezi Makalla akagua miradi ya kimkakati mkoa wa Kusini Pemba
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla leo tarehe 27 Januari 2025 ameanza ziara ya siku mbili Visiwa vya Pemba akianzia Kusini Pemba…
Tume ya madini yaainisha mipango ya kuwawezesha wachimbaji wadogo wa madini
Ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha Tume ya Madini inavuka lengo la ukusanyaji wa maduhuli la shilingi Trilioni Moja kwa mwaka 2024-2025 lililowekwa na Serikali, mikakati mbalimbali imeendelea kuwekwa na Tume…
Sumaye ataja sababu kupungua migogoro ya ardhi Mvomero
Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye amesema kupungua Kwa Migogoro ya wakulima na wafugaji nchini hususani Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro imetokana na ushirikiano mzuri wa viongozi kuanzia ngazi ya Kijiji…
Almiron wa Newcastle yuko mbioni kurejea Atlanta United
Miguel Almiron ameondoka Newcastle na anaelekea Marekani kusaini klabu yake ya zamani ya Atlanta kwa ada ya takriban £9.5m. Winga huyo wa Paraguay amekubali masharti ya kibinafsi na atafanyiwa uchunguzi…