Mwili wapatikana kwenye magurudumu ya ndege ya United Airlines usiku wa mkesha wa Krismasi
Polisi wa Maui wanachunguza tukio la kupatikana kwa maiti kwenye gurudumu la ndege ya United Airlines baada ya kutua idara ya ndege na polisi ilisema katika taarifa Jumatano. Mwili huo…
Man City ipo katika hatari ya kukosa nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anasema klabu hiyo iko katika hatari ya kukosa nafasi ya kushiriki katika Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao. City kwa sasa wako katika msimu…
Upinzani wa Korea Kusini umeamua kumfungulia mashtaka kaimu rais
Chama kikuu cha upinzani nchini Korea Kusini kiliwasilisha ombi Alhamisi ya kumshtaki Waziri Mkuu na Kaimu Rais Han Duck-soo kwa kutotaka kujaza nafasi tatu za Mahakama ya Kikatiba. Uteuzi huo…
Waliofanya ghasia kwa washabiki timu wa Israel wahukumiwa
Mahakama moja ya Amsterdam nchini Uholanzi Jumanne imewahukumu vifungo vya hadi miezi 6 jela wanaume watano kwa ghasia ambazo zilizuka kwenye michuano ya soka katika ligi ya UEFA Europa, wakati…
Mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa – SGR yamewasili Bandari ya Dar
Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa – SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini…
Ukraine yadai kushambulia kituo cha kijeshi nchini Urusi
Jeshi la anga la Ukraine limeshambulia kituo cha viwanda cha kijeshi katika eneo la Rostov nchini Urusi katika siku chache zilizopita. Hayo ni kwa mujibu wa jeshi la Ukraine, ambalo…
Iran yaondoa marufuku kwenye jukwaa la mawasiliano la WhatsApp
Baraza kuu la Iran linaloshugulikia kulinda usalama wa mitandao limepiga kura Jumanne kuondoa marufuku kwenye jukwaa la mawasiliano ya WhatsApp, ambalo liliwekewa masharti kwa zaidi ya miaka miwili, shirika la…
Maandamano yaongezeka Msumbiji,vurugu baada ya matokeo ya uchaguzi
Watu 21 wameuawa katika maandamano nchini Msumbiji, tangu mahakama ya juu ilipoidhinisha ushindi wa chama cha Frelimo siku ya Jumatatu. Idadi hiyo ya vifo imetolewa na wizara ya mambo ya…
Papa Fransis atoa wito wa kusitushwa kwa milio ya risasi duniani
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis Jumatano katika hotuba yake ya kawaida wakati wa Krismasi amewasihi “watu wa mataifa yote” kuwa na ujasiri kwenye mwaka huu Mtakatifu, kwa kuzima…
WHO laonya kuhusu ongezeko la kasi la maambukizi ya malaria nchini Ethiopia
Ripoti iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) Jumatatu wiki hii imesema maambukizi milioni 8.4 ya malaria yameripotiwa nchini Ethiopia tangu mwanzoni mwa mwaka huu, na ugonjwa huo unaendelea kuhatarisha…