Hansi Flick aporomoka kwenye rekodi ya kocha mahiri katika historia
Hansi Flick alikaribia kuwa kocha mahiri zaidi katika historia ya FC Barcelona kwa mabao aliyofunga mwanzoni mwa uongozi wake na kulingana na tovuti ya takwimu ya Opta, Flick sasa anakuwa…
Baraza la masoko la mitaji kuongeza imani ya wawekezaji,Msajili asema migogoro itatatuliwa
Ili kuongeza imani ya wawekezaji, serikali imeanzisha Baraza la Masoko ya Mitaji, ambayo imeundwa kutatua migogoro inayohusiana na shughuli za masoko ya hisa, kanuni za dhamani ya mali, na malalamiko…
Mwigizaji Irene Uwoya azindua kampeni ya “JEMBE NI MAMA”
Mwigizaji Irene Uwoya amefunguka siku ya jana mbele ya waandishi wa Habari kuhusu kampeni yake mpya ya Jembe ni Mama aliyoitambulisha leo na kuzindua mbele ya waandishi wa Habari ikiwa…
Mkuu wa MONUSCO awataka waasi wa M23 kuondoka Congo maramoja
Mkuu wa kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) amewataka waasi wa kundi la M23 kusitisha harakati zao na kuondoka…
Waziri mkuu asisitiza Watanzania wote kushirikiana na Serikali, mkazo kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia
WAZIRI MKUU, amewasisitiza Watanzania wote kushirikiana na Serikali kuweka mkazo kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kubadili utaratibu za kupika chakula ili kuachana na matumizi ya kuni na…
Picha:Mkutano wa mawaziri wa Nishati na Fedha wa nchi za Afrika pamoja na wadau wa maendeleo kuhusu Nishati
Leo, Januari 27, 2025, mkutano muhimu wa nishati unaowakutanisha Mawaziri wa Nishati, Mawaziri wa Fedha, na wadau wa maendeleo unafanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu, unaojulikana kama “Mission…
Migogoro 9069 yaibuliwa katika kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia tangu 2023
Imeelezwa kuwa Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia imesaidia na kuibua Migogoro na changamoto za kisheria Elfu 9 na 69 toka mwaka 2023 ilipoanzishwa ambapo kampeni hiyo imekuwa…
JKCI, MOI wajipanga kutoa huduma ya dharura kwa wageni mkutano wa nishati
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, leo amefanya ziara hospitali Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), na…
Awamu ya pili ya ubadilishanaji wa mateka imekamilika rasmi
Mwishoni mwa wiki, wanajeshi wanne wa Israel wanaoshikiliwa na Hamas waliachiliwa na wafungwa 200 wa Kipalestina kuachiliwa kama sehemu ya makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo yamemaliza miezi 15 ya mapigano…
Yoon Suk Yeol rais wakwanza kufunguliwa mashtaka tuhuma za uasi Korea Kusini
Waendesha mashtaka wa Korea Kusini walimfungulia mashtaka Rais Yoon Suk Yeol siku ya Jumapili kwa tuhuma za uasi, baada ya Mwendesha Mashtaka Mkuu Shim Woo-jung kuitisha mkutano na waendesha mashtaka…