Idadi ya waliofariki kutokana na kimbunga Chido nchini Msumbiji imeongezeka hadi 120
Idadi ya waliofariki kutokana na kimbunga Chido nchini Msumbiji iliongezeka na kufikia hadi angalau 120, shirika la habari la maafa la nchi hiyo ya kusini mwa Afrika lilisema Jumatatu. Idadi…
Pakistan yaripoti kesi mpya ya polio
Pakistan imeripoti maambukizo yake ya hivi punde ya ugonjwa wa polio kutoka mkoa wa kusini-magharibi wa Balochistan, mpango wa kutokomeza polio nchini humo ulithibitishwa Jumanne, na kutaja jumla ya kesi…
Luteni mkuu wa mlanguzi maarufu wa dawa za kulevya Pablo Escobar aachiwa huru
Mmoja wa waanzilishi wa genge la kuuza dawa za kulevya la Medellin amerejea Colombia baada ya kutumikia kifungo cha zaidi ya miaka 20 jela nchini Marekani kwa kosa la ulanguzi…
TFRA na Kampeni ya Kuboresha Kilimo cha Pamba
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) inaendelea na kampeni ya "Kijiji hadi Kijiji, Shamba hadi Shamba," yenye lengo la kuhamasisha matumizi sahihi ya mbolea kwa wakulima wa pamba. Kampeni…
Rais wa Korea Kusini aghairi wito wa kuhojiwa kwa mara ya pili
Rais wa Korea Kusini aliyesimamishwa kazi Yoon Suk Yeol alikataa wito wa kuhojiwa kwa mara ya pili, timu ya uchunguzi ilisema Jumatatu, baada ya kupuuza iliyokuwa awali wiki iliyopita. Kiongozi…
Israel imekiri kuwa ilimuua kiongozi wa zamani wa Hamas Haniyeh huko Tehran
Waziri wa ulinzi wa Israel kwa mara ya kwanza amekiri kuwa Israel ilimuua kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran mwezi Julai. Israel Katz alitoa maoni hayo katika…
Rais Samia amekabidhi vyakula pamoja na vitoweo kwa vituo 2 vinavyolea watoto watokao katika mazingira hatarishi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hassan amekabidhi vyakula pamoja na vitoweo kwa vituo 2 ikiwemo kinacholea watoto watokao katika mazingira hatarishi ikiwa ni katika kusherehekea…
Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton amelazwa hospitalini baada ya kuugua homa
Bill Clinton, rais wa zamani wa Marekani ambaye amekabiliwa na msururu wa masuala ya afya kwa miaka mingi, alilazwa hospitalini Jumatatu mjini Washington baada ya kupata homa, ofisi yake ilisema.…
Macron atangaza baraza jipya la mawaziri
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameitangaza serikali mpya chini ya uongozi wa Francois Bayrou, Waziri Mkuu wake wa nne mwaka huu ili kuiondoa nchi hiyo kutoka kwenye mgogoro wa kisiasa.…
Zaidi ya watu 200 wameuwawa na magenge ya Haiti mwezu huu- UN yasema
Ripoti hiyo kutoka kwa Ofisi ya UN ya Haki za Binadamu imesema kuwa takriban 134 ya watu waliyouwawa ni wanaume na wanawake 73, wengi wao wakiwa na umri wa juu,…