Kama unataka kujua ngoma 10 kali za Dunia sasa hivi
February 26 mtu wangu wa nguvu naomba nikuletee TOP 10 ya video 10 kali za dunia, huu ni mwisho wa wiki kwa kawada kila Ijumaa Trace Tv Urban kituo ambacho kinacheza video…
Baada ya Blatter kutawala kwa miaka 18 FIFA yapata Rais mpya leo
Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA leo Ijumaa ya February 26 ndio siku lilifanya uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais wa kuziba pengo la Sepp Blatter aliyekuwa Rais wa shirikisho hilo kwa…
VIDEO: TCU wameendelea kufuta vibali vya Vyuo, leo wamehamia Arusha
February 26 2016 taarifa kutoka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)ilikuwa ni hii ya kukifutia kibali Chuo Kikuu cha Mt. Yosefu Tanzania (SJUIT), kampasi ya Arusha na kuwahamisha wanafunzi wote…
Rais Magufuli kaagiza kabla ya saa 12 jioni Mawaziri hawa wawe wametekeleza hii lasivyo wanajiondoa kazini
Baadhi ya Mawaziri na Manaibu Waziri wasiorudisha fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni na fomu ya Ahadi ya Uadilifu wamesisitizwa kurudisha fomu hizo leo kabla ya saa 12 jioni…
Migogoro ya Wanafunzi imesababisha Chuo Kikuu cha Mt. Yosefu Arusha kufutiwa kibali
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kukifutia kibali Chuo Kikuu cha Mt. Yosefu Tanzania (SJUIT), kampasi ya Arusha na kuwahamisha wanafunzi wote waliokuwa wanasoma katika kampasi hiyo kwa gharama…
Top 10 news kutoka Instagram za mastaa wa bongo haitakiwi zikupite wiki hii
AyoTV inakuletea kipengele kipya cha habari za mastaa kutoka kwenye mitandao yao ya kijamii Instagram, Facebook na Twitter ambapo mtangazaji leo ni Asteria Mvungi, kuna post za Wema Sepetu zilizofutwa,…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 26 2016 kwenye udaku, hardnews na michezo
February 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Dakika 7 za mpiga picha wa Mwananchi kutaka kunyang’anywa kamera na Waziri wa zamani Wassira…(+AUDIO)
Moja kati ya stori kubwa za leo kwenye Amplifaya ya Clouds Fm ni hii ya mpiga picha wa Gazeti la Mwananchi kwa upande wa Mwanza Michael Jamsoni kutaka kunyang’wanywa kamera…
Watanzania Navy Kenzo wameingia kwenye TOP 10 ya Afrika
List ya hit single kuzidi kuongezeka kutoka kiwanda cha Bongo Fleva inazidi kuchukua nafasi kila siku, kwa sasa imekuwa kawaida kwa wasanii wa muziki wa Bongo Fleva kuingia gharama za…
Man United yaibuka na ushindi dhidi ya FC Midtjylland, Full Time 5-1 (+Video)
Klabu ya Man United ambayo kwa kawaida imezoeleka kuingia na kufanya vizuri katika michuano ya klabu Bingwa barani Ulaya, kiasi hata cha kuwa inafikia hatua ya fainali ya michuano hiyo,…