Kuelekea mechi Simba Vs Yanga, TFF watafunga sehemu ya barabara hii Feb 20
February 20 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam klabu kongwe na zenye upinzani Tanzania Simba na Yanga zitashuka dimbani kupambana katika mchezo wao wa marudiano wa mzunguuko wa pili wa…
Baada ya Headline za Chui na Tembo India, hii ndio idadi ya Simba wanaoripotiwa kuingia mtaani Kenya …
February 8 nchini India, Chui alitengeneza headline baada ya kuingia kwenye majengo ya shule na kujeruhi wanafunzi 6, siku tano mbele headline ziliendele India baada ya Tembo kuingia mtaani na kufanya uharibifu wa mali za watu.…
Waziri wa Rais Magufuli kafanya uteuzi mpya kwenye Wizara yake leo Feb 19 2016
https://twitter.com/millardayo/status/700608122516156416 https://twitter.com/millardayo/status/700610007633530880 https://twitter.com/millardayo/status/700611388578750464 https://twitter.com/millardayo/status/700612421207994368 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze…
Picha 10 Marehemu John Woka alivyoagwa kwao Tanga
Tayari ninazo picha 10 kutokea Tanga ambapo ndipo Marehemu John Woka, Msanii wa longtime Tanzania amezikwa. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki pia walijumuika kutoa support kwa familia. Unataka kutumiwa…
Dakika 6 za Waziri Nape Nnauye akitangaza kumuondoa kazi Mtendaji Mkuu baraza la michezo…(+AUDIO)
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye, ametangaza kumsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Baraza la michezo taifa Hendry Lihaya. Kwenye hii sauti hapa chini kuna full stori ilivyokuwa...…
Picha 20 muonekano wa barabara za Dar na mishemishe zake asubuhi ya leo feb 19 2016
Hii ni kwa watu wangu wanaopenda kujionea maeneo mbalimbali ya kuvutia kama miji, mijengo na vingine kibao, hapa nimekusogezea hizi picha 20 ujionee jiji la Dar lilivyo kwa asubuhi ya…
Video ya Elias Maguli akieleza alivyoachwa Simba, Je ni kweli hata wakimpa Mlima Kilimanjaro harudi Simba?
Mtu wangu wa nguvu bado naendelea kukuletea exclusive stori za mastaa kadhaa wa soka la bongo, huenda ukawa ufahamu ukweli maisha yao na soka. February 18 Amplifaya ya Clouds FM…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 19 2016 kwenye udaku, Hardnews na michezo
February 19 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Kama ilikupita mechi ya FC Midtjylland Vs Man United, ninayo video ya magoli yote hapa, Full Time 2-1
Klabu ya Manchester United bado ipo katika kinyang'anyiro cha kuwania Kombe la EUEFA Europa, kombe ambalo ni la pili kwa ukubwa barani Ulaya baada ya Kombe la Klabu Bingwa barani…
TOP 20 ya Ikulu zinazotumia magari ya kifahari duniani, Afrika zipo nchi 2 tu, Kenya ikiwemo
Mtu wangu wa nguvu najua umesikia au unaelewa jinsi gari za viongozi wa juu wa serikali hususani marais zinavyokuwa na thamani kubwa kutokana na hadhi na uhitaji wa gari zenye…