Aliyetengeneza maudhui ya kuuza mtoto Tiktok aachiwa kwa dhamana
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limethibitisha kumwachia kwa dhamana John Isaya (21), mkazi wa Bukala wilaya Sengerema, anayekabiliwa kwa tuhuma za kutangaza kuuza mtoto wake kwa shilingi milioni moja…
Miili ya wavuvi 8 yapatikana ziwa Rukwa,operesheni ya uokoaji inaendelea
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Kikosi maalum cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa Kushirikiana na Wananchi kinaendelea na Operesheni ya kuwatafuta na kuwaokoa…
Alex Msama asikitishwa Goodluck Gozbert kuchoma gari
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Alex Msama ambaye pia ni Muandaajia wa Matamasha ya injili ametoa maoni yake kuhusiana na kitendo cha Msanii wa nyimbo za Injili Goodluck Gozbert…
Watalii Mil.1.8 watembelea hifadhi za TANAPA mwaka 2023/2024
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema watalii Milion 1,863,108 (1.8) wametwmbelea hifadhi za Taifa ( TANAPA) Kwa kipindi cha mwaka 2023/2024 ikiwa ni ongezeko la watali 244,570 ukilinganisha na…
Boda boda wilaya ya handeni wafanya maandano na kufanya usafi kumpongeza Rais Dkt.Samia Suluh Hassan
Madereva wa Bodaboda Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wamefanya maandamano ya amani na kufanya usafi katika Hospital ya Wilaya hiyo lengo ikiwa ni kuunga mkono jitihada za kimaendeleo zilizofanywa na…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 25, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 25, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 25, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 25, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Tanzania mwenyeji Kongamano la Kimataifa la Utalii wa Vyakula Barani Afrika
Tanzania na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UN Tourism) zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya Tanzania kuwa mwenyeji wa Kongamano la Pili la Kikanda la Utalii wa Vyakula…
Warusi wapatao 450,000 walitia saini mikataba ya kutumikia jeshi mnamo 2024.
Dmitry Medvedev, naibu mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Urusi, alisema Ijumaa kwamba takriban watu 450,000 walitia saini kandarasi za kuhudumu katika jeshi la Urusi mnamo 2024 na kwamba lengo…
zoezi la ulipaji fidia kwa Wananchi 595 mradi wa magadi soda
SERIKALI imeagiza kuwa zoezi la ulipaji fidia ya sh, bilioni 6.2 kati ya sh, bilioni 14.48 kwa Wananchi 595 kutoka vijiji vinne vya Engaruka Chini, Mbaash, Idonyonado na Irerendeni. Kata…