Magazeti ya Tanzania December 6 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 6 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram…
Utani wa Baba Levo kuhusu kwenda na Mwanamke wa mjini guest house
Baba Levo ni msanii wa bongofleva, diwani lakini pia mtani ambaye huwa anaibuka na utani wa vitu mbalimbali mara kwa mara, hapa nimekuosegezea sauti yake na utani kwa Wanawake wa…
Kasi ya ushindi wa goli nyingi ya FC Barcelona, imezimwa na Valencia katika dimba la Mestalla (+Pichaz&Video)
Wakati wapinzani wao wa jadi Real Madrid wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 4-1 dhidi ya Getafe na kuvuna point zote tatu katika dimba la Santiago Bernabeu, FC Barcelona wao…
Chelsea imepoteza mchezo mbele Bournemouth, Cheki matokeo ya mechi za EPL Dec 5 (+Pichaz&Video)
Klabu ya Chelsea ambayo ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Uingereza, December 5 wameshuka dimbani kucheza mchezo wao wa 15 wa Ligi Kuu Uingereza na kuendelea na harakati za kujikwamua kutoka nafasi…
Prof. Lipumba kateuliwa mshauri wa uchumi serikali ya Dr. Magufuli? ukweli uko hapa..(+Audio)
Baada ya taarifa nyingi kusambaa hususani kwenye mitandao ya kijamii kwamba Rais John Magufuli amemchagua aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba kuwa mshauri wa masuala ya kiuchumi…
Breaking News: Mtanzania Omary Clayton kashinda Tuzo ya heshima nchini Marekani…(+Pichaz)
Good News ikufikie popote pale ulipo, Leo Dec 5, 2015 historia nyingine imeandikwa katika Afrika na dunia kwa ujumla baada ya Mtanzania mwenzetu Omary Clayton kuibuka na ushindi mnono katika shindano…
Real Madrid yapunguza tofauti ya point na FC Barcelona kwa ushindi huu, cheki (+Pichaz&Video)
Miongoni mwa ile michezo 9 ya LaLiga ya weekend hii, tayari baadhi ya michezo hiyo imeshachezwa Jumamosi ya December 5, miongoni mwa mechi za Ligi ya Hispania zilizochezwa ni mchezo…
Louis van Gaal yupo tayari kuondoka Man United ila kama wachezaji wataamua hivi …
Headlines za kocha wa Man United Louis van Gaal kuwa huenda taondoka klabu hapo zimekuwa zikichukua nafasi kila siku, kwani mashabiki wa timu hiyo hawana imani na uwezo wa kocha…
Dakika za Man City kuongoza EPL zinahesabika ni baada ya kipigo cha Stoke, cheki (+Pichaz&Video)
Jumamosi ya December 5 Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena kwa michezo nane kupigwa, mchezo wa kwanza kupigwa ulikuwa ni mchezo kati ya Stoke City dhidi ya Manchester City katika dimba la…
Wasanii Dayna na AT hawakumpigia kura Dr. Magufuli? wanasemaje sasa hivi?
Wasanii wa bongofleva Dayna Nyange pamoja na AT ni miongoni mwa watu ambao hawakumpigia kura Rais Magufuli kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 lakini kinachoendelea kwenye serikali ya Dr. Magufuli sasa hivi…