Salah: Hakuna jipya kuhusu mustakabali wangu, na sijafikiria kuhusu lolote
Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah alionekana kwenye press ya vyombo vya habari baada ya kuishinda Tottenham 6-3 katika mzunguko wa kumi na saba wa Ligi Kuu ya Uingereza. Nyota huyo…
Kibarua kizito kwa Amorim,majeruhi waongezeka
Kazi ya meneja wa Manchester United sio rahisi kwa Ruben Amorim, huku majeraha yakianza kuongezeka. Majeraha yameanza kwa Luke Shaw ambaye amepata jeraha na kisha Mason Mount akatolewa nje kwa…
Chelsea wanapigiwa upatu kumsajili mlinda mlango wa Aston Villa Emi Martinez.
The Blues msimu huu wamemkabidhi Robert Sanchez kama golikipa chaguo la kwanza msimu huu, na matokeo tofauti, huku mchezaji aliyesajiliwa majira ya kiangazi Filip Jorgensen akicheza Ulaya na mashindano ya…
Ufaransa inaomboleza waliofariki kutokana na kimbunga Chido
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alitangaza kuikumbuka siku hiyo ya kuwakumbuka waliopoteza maisha wakati wa ziara yake katika kisiwa hicho wiki iliyopita, ambapo alikabiliwa na ukosoaji kutoka kwa wakaazi juu…
Polisi yakamata madini ya dhahabu bandia
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga, limekamata madini ya dhahabu bandia gramu 250. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi, amesema hayo leo, akisema ni baada ya…
Zaidi ya wananchi 20,000, wanatarajiwa kupatiwa huduma za upimaji na matibabu ya magonjwa yasiyoambukizwa
Zaidi ya wananchi 20,000, wanatarajiwa kupatiwa huduma za upimaji na matibabu ya magonjwa yasiyoambukizwa, ikiwa ni pamoja na magonjwa ya moyo, presha, na kisukari, katika maeneo mbalimbali nchini hadi kufikia…
Wanafunzi 13,887 wanatarajiwa kujiunga na shule za sekondari Katavi 2025
Mkuu wa mkoa wa Katavi Bi. Mwanamvua Mrindoko amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanawapeleka watoto shule pindi msimu mpya wa masomo unapoanza Januari 13, 2025 ambapo mkoa wa Katavi una…
Kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Mha. Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika…
Waziri Maliasili na Utalii amvika cheo Kamishna Dorie,ampa maagizo matatu
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt Pindi Chana amemuapisha na kumvika cheo kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro Dkt Elirehema Joshua Dorie na kumwagiza kuhakikisha anapanua wigo…
Waziri wa maji atii agizo la Rais,afika handeni Tanga
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametii agizo la Rais Samia na kufika eneo la kwamsisi wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Ambapo baada ya kuona video iliyochapishwa na mwandishi wa…