Ulijiandikisha kupiga kura Arusha lakini uko Dar es Salaam? inabidi utambue hili
Najua kuna watu watahitaji kufahamu kama ulijiandikisha Dar es Salaam lakini ukasafiri kwenda Arusha, kura utaweza kuipiga? zimebaki saa chache za kupiga kura na bado unaweza kupiga kura kama utafata maelekezo…
Hiki ndicho kitakachofanya African Sports wasirudi Tanga kupiga kura
Licha ya kuwa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limesimamisha Ligi weekend hii kwa sababu ya kutoa fursa kwa wachezaji na mashabiki wa soka kupata nafasi ya kupiga kura siku ya…
Pele ametimiza miaka 75, cheki magoli yake 10 kwenye ubora wake zamani.. (Video)
Jina lake ambalo Dunia inalitambua kutokana na heshima kubwa aliyoiweka kwenye soka anaitwa Pele ila Jina halali kabisa la utambulisho wake ni Edson Arantes do Nascimento, mmoja ya wakongwe wenye heshima…
Hawa ndio wafungwa waliohitimu Diploma Kenya na wanaenda kuhubiri Magerezani !!
Mara nyingi watu wanaotumikia Vifungo Gerezani huwa hawana uhuru wa kushiriki mambo mengi ikiwemo kusoma Shule, nimekutana na hii stori toka Kenya ambapo watu 16 ambao wanatumikia Kifungo wamepata nafasi…
Teknolojia imeziandika headlines tena kwa hiki kifaa kinachofananishwa na gari… (Video)
Kitu kizuri ni kwamba Teknolojia imekuwa ikirahisisha vitu vingi sana sikuhizi... waliobuni hiki kifaa wamekipa jina la 'Walk Car' yani wanakifananisha na gari linalomrahisishia mtu kutembea !! Huu ni ubunifu…
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza na Hispania October 24 na 25 …
Tanzania bado kuna homa ya uchaguzi mkuu kila mtu macho na akili zake kaelekeza katika siasa kwa sababu masaa yanahesabika kufikia ule muda wa kupiga kura. Kwa upande wa michezo…
Magazeti ya Tanzania leo October 24, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Octoba 24, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Bado siku 1… hapa ni UKAWA Ifakara Profesa Jay na Lowassa, CCM Dar JK na Magufuli
Ikiwa imebaki siku moja.....October 23 2015 Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeendelea maeneo mbalimbali, Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli alikuwa Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam, wakati Mgombea…
Kuelekea kufunga kampeni haya ni maneno ya mgombea Ubunge wa Segerea msanii wa filamu Frank
Headlines za uchaguzi bado zinazidi kuchukua nafasi kadri siku zinavyozidi kwenda hususani katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Ikiwa zimebakia saa kadhaa kabla ya kampeni…
Dakika nne za Mchekeshaji Kingwendu na mipango yake Ubunge wa Kisarawe.. (+Audio)
Muigizaji Kingwendu ni miongoni mwa mastaa ambao wamechukua headline za kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 kama Afande Sele, Professor Jay, Muigizaji Frank na wengine. Mchekeshaji na muigizaji Kingwendu anagombea…