Vijana 200 waliokatisha masomo yao kwa sababu mbalimbali wapata ufadhili wa kuendelea na masomo
Jumla ya Vijana 200 waliokatisha masomo yao kwa sababu mbalimbali ikiwemo ndoa na mimba za utotoni na changamoto za kifamilia wamepata ufadhili wa kuendelea na masomo kupitia Ofisi ya Mbunge…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 24, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 24, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 24, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 24, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Bashungwa aitaka uhamiaji kutowazungusha wananchi, mchakato wa kupata kitambulisho cha taifa.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuboresha ushirikiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kuondoa urasimu wa kuwazungusha Wananchi wakati wanapokuwa…
Fidia ya billion 14.48 ya madi soda yalipwa Monduli,Mbunge Lowassa atoa shukrani
Waziri wa Viwanda na Biashara Suleiman Jafo leo amezindua zoezi la ulipaji wa fidia katika mradi wa magadi soda ambapo Serikali, baada ya miaka mingi, imefika Monduli leo na kulipa…
UWT wamshika mkono kijana mwenye ulemavu wilayani Makete
Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Njombe Dkt.Skolastika Kevela ameitaka jamii kuendelea kusaidia watu wenye uhitaji kupunguza changamoto wanazokumbana nazo hali inayoweza kuwarejeshea tabasamu na kujiona watu wa muhimu katika jamii.…
Manchester United wana ofa nono kwa Osimhen
Napoli inasemekana kua wapo tayari kumtoa Victor Osmihen kwa Manchester United ili kuwaweka pembeni katika mazungumzo ya kumsajili Alejandro Garnacho. FF TV inadai kwamba mapendekezo ya Garnacho kwenda Napoli yanazidi…
Milan Škriniar mbioni kuondoka PSG
Beki wa kati wa Slovakia Milan Škriniar yuko mbioni kuondoka Paris Saint-Germain baada ya kutofautiana na kocha mkuu Luis Enrique na kulingana na mtaalam maarufu wa uhamisho Fabrizio Romano, beki…
Nahodha wa Man City Kyle Walker atua AC Milan
Vyombo vya habari vya Italia vinaripoti kuwa mchezaji wa Manchester City Kyle Walker amekubali kusaini mkataba na AC Milan. Calciomercato inadai kwamba Milan itamsajili nahodha wa City kwa mkopo kwa…
Manchester City wanajipanga kumsajili beki wa Juventus Andrea Cambiaso
Manchester City inaripotiwa kujiandaa kuwasilisha ombi rasmi la kumnunua beki wa pembeni wa Juventus, Andrea Cambiaso, huku ofa ikitarajiwa mwishoni mwa wiki. Mkataba huo unaweza kuwa usajili mkubwa zaidi wa…