Nimekusogezea hii miji mikubwa na ya gharama zaidi kuishi duniani
Ukuaji wa miji mingi duniani inatokana na ukuaji wa miundombinu pamoja na uchumi wake kukua. Kuna miji mingi duniani inakua kwa kasi sana kutokana na kasi ya miundombinu, leo nimekuletea…
Keki iliyovunja rekodi duniani kwa kuuzwa bei kubwa zaidi…
Keki hutumika kama ishara ya kuonyesha upendo baina ya watu na zimekuwa zikitumika zaidi kwenye sherehe mbalimbali ndani ya jamii zinazotuzunguka. Kuna aina nyingi ya utengenezaji wa keki kutoka kwa…
Baada ya kufikia rekodi ya Sir Bobby Charlton, Wayne Rooney kwenye headlines na rekodi hii… (Pichaz&Video)
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Wayne Rooney, siku kadhaa nyuma alifikia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya…
Hii ndio idadi ya followers wa Diamond Platnumz #Instagram… Kawagusa Davido & Wizkid!
Wiki chache zilizopita msanii kutoka Nigeria Davido aliweka headlines baada ya kufikisha followers Milion 1 kwenye Instagram, na kabla ya hapo Wizkid nae aliingia kwenye hesabu ya mastaa wa Africa…
Nauli Mabasi ya mwendo kasi, NEC yamuonya LOWASSA, mtoto azaliwa na vichwa viwili.. #StoriKubwa
JAMBOLEO Mwanamke mmoja mjamzito mkazi wa kijiji cha Chakonka Wilaya ya Uvinza, Kigoma amejifungua mtoto mwenye vichwa viwili na baada ya muda mfupi mtoto huyo alifariki. Ilidaiwa kuwa awali alikwenda…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania Septemba9, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Ndege ilivyoshika moto wakati inajiandaa kupaa Marekani… (Pichaz & Video)
Kama hii dharura ingetokea wakiwa katikati ya safari basi vyombo vya Habari Duniani vingekuwa na stori tofauti kabisa... Ndege ya Shirika la British Airways ilikuwa tayari kwa ajili ya safari…
Gwajima na Slaa, NEC na Lowassa, Mtihani wa taifa darasa la saba, Nauli mabasi mwendokasi? Ndoa za katoliki? (Audio).
Jumatano September 9 2015 imeanza na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM, jukumu langu kwako ni kuhakikisha zile kubwa kubwa za asubuhi hazikupiti... Wanafunzi wa darasa la saba kuanza mitihani ya taifa…
Magazeti ya Tanzania Septemba 9, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Septemba 9,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote…
Mabibi na mabwana ile single mpya ya Sauti Sol ndio hii imetoka
Sauti Sol ni kundi la muziki kutokea Kenya wametuletea video yenye Lyric ya nyimbo yao mpya waliyoipa jina la Isabella ikiwa bado mpya kabisa mtuwangu https://www.youtube.com/watch?v=J9jE6WL29pA PAPO KWA PAPO…