Zaidi ya wanajeshi 1,100 wa Korea Kaskazini wauawa katika vita vya Ukraine
Zaidi ya wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini waliuawa au kujeruhiwa katika mapigano dhidi ya vikosi vya Ukraine, kamati ya wakuu wa majeshi ya Korea Kusini (JCS) imesema leo Jumatatu (Desemba…
Mkuu wa UNRWA anasema Israel imevunja sheria zote za vita huko Gaza
Israel imekiuka sheria zote za vita katika Ukanda wa Gaza, kamishna mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) alisema Jumapili. Philippe Lazzarini aliangazia ukiukaji…
Papa Francis atoa wito wa kusitishwa kwa mapigano kwa pande zote za vita katika maombi ya kabla ya Krismasi
Papa Francis alitoa wito wa kusitishwa kwa vita kwa pande zote za vita katika sala yake ya Jumapili ya Malaika kabla ya Krismasi, kulaani "ukatili" wa shule na hospitali za…
Waliofariki kutokana na kimbunga Chido Msumbiji wafika 94
Idadi ya vifo vilivyotokana na kimbunga Chido nchini Msumbiji imefikia watu 94. Idadi hiyo ni kwa mujibu wa shirika la kukabiliana na majanga nchini humo. Kimbunga Chido kiliipiga pwani ya…
Korea Kaskazini ‘kutuma wanajeshi zaidi nchini Urusi’
Korea Kaskazini inaonekana kujiandaa kupeleka wanajeshi zaidi na silaha nchini Urusi, shirika la habari la Korea Kusini la Yonhap linaripoti, likinukuu jeshi la Korea Kusini. Usambazaji huo "huenda unajumuisha ndege…
Makachu ya forodhani Zanzibar yasimamishwa chanzo maadili
Mamlaka ya Mji Mkongwe zanzibar imesimamisha shughuli za kuchupia kwenye maji forodhani maarufu upigaji wa makachu kwa kile kinachodaiwa kua ni ukiukwaji wa taratibu zilizoekwa baada ya raiya wa kigeni…
Trump aahidi kukomesha masuala ya LGBTQ+ mara tu akingia White house
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameahidi kukomesha kile alichokiita "upuzi wa watu wanaobadili jinsi zao” siku ya kwanza tu atakapoingia madarakani. Kauli hiyo ameitoa wakati Warepublican wanaotarajiwa kudhibiti mabunge…
Ajali ya ndege nchini Brazil yaua watu 10 katika mji maarufu wa kitalii
Ndege ndogo imeanguka katika eneo la watalii kusini mwa Brazil, na kuua watu wote 10 waliokuwa ndani ya ndege hiyo na kujeruhi zaidi ya watu kumi na wawili waliokuwa chini,…
Mwanamke afariki baada ya kuchomwa moto kwenye treni ya chini ya ardhi
Mwanamume mmoja amekamatwa huko New York kuhusiana na kifo cha mwanamke aliyechomwa moto kwenye treni ya chini ya ardhi huko Brooklyn. Kamishna wa polisi Jessica Tisch alielezea tukio hilo la…
Madiwani Nanyamba wajifunza mbinu za kisasa za usimamizi wa miradi jijini Mwanza
Madiwani na viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Nanyamba wamefanya ziara ya siku moja katika Jiji la Mwanza kwa lengo la kujifunza usimamizi wa miradi na mbinu za kuongeza mapato.…