NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2024
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha nne na kusema ufaulu umeongezeka kwa asiliimia 3 na kufikia asilimia 92.37 ukilinganisha na ufaulu…
Ufaulu wa kidato cha 4 umeongezeka kwa mwaka 2024 ukilinganisha na mwaka 2023
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini (NECTA) Dkt. Said Mohammed amesema ufaulu wa kidato cha nne umeongezeka kwa mwaka 2024 ukilinganisha na mwaka 2023. Akizungumza na vyombo vya habari…
Meta kuwalipa Content creators watakao tumia kupandisha maudhui zaidi Facebook na Instagram
Kampuni ya Meta imezindua programu mpya ya motisha inayoitwa Breakthrough Bonus, inayowapa waundaji wa maudhui (Content Creators) wa Mtandao wa TikTok hadi $5,000 (Tsh Milioni 12) kwa muda wa miezi…
Tanga yatoa mikopo ya Sh bill 2.6 kwa vikundi 315
HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imetoa Sh bil 2.6 kwa vikundi 315, ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ambayo ni mpango wa serikali wa kuinuia wananchi wake kiuchumi. Akikabidhi fedha…
Deal Done : Renato Veiga akamilisha uhamisho kutua Juventus
Juventus wako tayari kumsajili beki wa Chelsea Renato Veiga kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu. Klabu hiyo ya Italia imekubali kugharamia mishahara ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno…
RB Lepzig kwenye mapambano kumnasa Benjamin Sesko
Arsenal inawalenga washambuliaji wawili wakati dirisha la Januari linakaribia mwisho wa mchezo ambapo mazungumzo na RB Lepzig kuhusu Benjamin Sesko yameripotiwa kuwa yameanza, huku Mikel Arteta akienda hadi kuongea na…
Iraq yapitisha sheria itakayoruhusu ndoa za watoto wa kike wakiwa na umri wa miaka 9
Bunge la Iraq inaripotiwa kupitisha sheria kadhaa, ikiwemo ile itakayoruhusu ndoa za watoto wa kike wakiwa na umri wa miaka tisa na kwa mujibu wa Mail Online, marekebisho ya sheria…
Diddy amshtaki mwanamume aliyedanganya kuwa na video zake na watu (4) mashuhuri
Mawakili wa Sean “Diddy” Combs waliwasilisha kesi ya kashfa Jumatano dhidi ya mwanamume ambaye alimshataki Diddy kwa uwongo baada ya kudai kuwa na video zinazomhusisha nguli huyo wa muziki katika…
Uwanja mkubwa zaidi wa Kombe la Dunia nchini Morocco kuwa tayari kufikia 2027
Morocco inalenga kukamilisha ujenzi wa uwanja wenye uwezo wa kuchukua watu 115,000 huko Benslimane karibu na Casablanca ifikapo 2027, miaka mitatu kabla ya Kombe la Dunia itakuwa mwenyeji pamoja na…
Neymar katika mazungumzo ya kuondoka Saudia Al-Hilal – ripoti
Nyota wa Brazil Neymar yuko kwenye majadiliano kuhusu kuihama klabu yake ya Al-Hilal ya Saudia lakini mahitaji yake ya kifedha yanashikilia makubaliano, chanzo cha klabu kiliiambia AFP Jumatano. Mshambulizi huyo…