Qatar yafungua ubalozi wake Damascus baada ya miaka 13
Qatar ilifungua tena ubalozi wake mjini Damascus siku ya Jumamosi, miaka 13 baada ya kuufunga wakati wa hatua za mwanzo za vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria. Hatua hii…
Korea Kusini yagundua dalili za Korea Kaskazini kuandaa wanajeshi zaidi, ndege zisizo na rubani kwa Urusi
Jeshi la Korea Kusini lilisema Jumatatu kwamba limegundua dalili za Korea Kaskazini kujiandaa kutuma wanajeshi zaidi na silaha, zikiwemo ndege zisizo na rubani za kujitoa mhanga, nchini Urusi kusaidia vita…
Upinzani wa Korea Kusini unatishia kumshtaki aliyechukua nafadi ya raisi aliyesimamishwa kazi hivi karibuni
Chama kikuu cha upinzani nchini Korea Kusini kilitishia Jumatatu kumfungulia mashtaka kaimu rais Han Duck-soo iwapo atashindwa kuidhinisha sheria ya kuanzisha uchunguzi wa mawakili maalum kuhusu jaribio la Rais Yoon…
Rais Biden abadilisha hukumu kwa wafungwa wengi waliohukumiwa kifo
Rais Joe Biden alitangaza Jumatatu kwamba anabadilisha hukumu za karibu kila mfungwa katika hukumu ya kifo cha shirikisho hadi kifungo cha maisha bila uwezekano wa msamaha, katika hatua iliyokusudiwa kumfanya…
Trump akanusha madai kwamba ‘alimwachia maamuzi ya urais’ Elon Musk
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amepuuzilia mbali madai kwamba Elon Musk ana ushawishi usiofaa kwenye utawala wake kufuatia jukumu kubwa la bilionea huyo wa teknolojia katika kuzuia mswada wa…
Msiwatishe watu kuhusu vita vya tatu vya dunia
Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kiwango cha tishio kinaongezeka duniani kote, lakini hakuna haja ya kuwatisha watu kuhusu Vita vya Tatu vya Dunia. Wakati wa mahojiano yaliyochapishwa na mwandishi…
Hizi hapa orodha ya nyimbo pendwa za Rais wa zamani wa Marekani
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amezindua orodha yake ya kila mwaka ya filamu, nyimbo na vitabu anazopenda zaidi mwaka huu, ikiwa ni pamoja na Anora, Kendrick Lamar, Fontaines…
Trump anasema Putin anataka kukutana nae kujadili vita vya Ukraine
Rais mteule wa Marekani Donald Trump alisema siku ya Jumapili kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin ameeleza nia ya kukutana naye haraka iwezekanavyo ili kuzungumzia vita vya Ukraine. "Rais Putin…
Zaidi ya wanajeshi 1,100 wa Korea Kaskazini wauawa katika vita vya Ukraine
Zaidi ya wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini waliuawa au kujeruhiwa katika mapigano dhidi ya vikosi vya Ukraine, kamati ya wakuu wa majeshi ya Korea Kusini (JCS) imesema leo Jumatatu (Desemba…
Mkuu wa UNRWA anasema Israel imevunja sheria zote za vita huko Gaza
Israel imekiuka sheria zote za vita katika Ukanda wa Gaza, kamishna mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) alisema Jumapili. Philippe Lazzarini aliangazia ukiukaji…