Serikali yadhamiria kujikita kuwalipa wakandarasi
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imepokea taarifa ya hali ya upatikanaji wa rasilimali fedha na utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Maji kwa kipindi cha nusu…
BoT yanunua dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 570
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imenunua tani 2.6 za dhahabu inayochimbwa na kusafishwa hapa nchini ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukabiliana…
Noti mpya kuingia kwenye mzunguko February 1 2025
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe,…
Kamati ya Kudumu ya Bunge yakoshwa na Maendeleo na ustawi ofisi ya Waziri mkuu
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake namna inavyowagusa wananchi na kumpongeza Mhe.…
Waziri Bashungwa amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa leo tarehe 22 Januari 2025 amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma na kupokelewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi…
Picha :Rais Samia awaapisha majaji wa mahakama ya Rufani
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 22 Januari, 2025.
Waziri Ulega akagua vivuko viwili kati ya sita vilivyowasili katika eneo la Magogoni
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua vivuko viwili kati ya sita (6) vilivyowasili katika eneo la Magogoni kwa ajili ya kutoa huduma ya usafiri eneo la Kigamboni na Magogoni na…
MrBeast anajiunga na mabilionea wa Marekani kwenye zabuni ya kununua Tik Tok
MrBeast, nyota wa YouTube na mtayarishi anayelipwa pesa nyingi zaidi mtandaoni, amejiunga rasmi na zabuni ya kununua Jukwà la TikTok nchini Marekani. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 ameungana…
Rashford bado anataka kuichezea Man Utd licha ya vilabu viwili kumtaka
Marcus Rashford anatafuta sana mtu aliye tayari kumchukua na kumlipa mshahara wake lakini chaguzi zake zinazidi kuwa finyu. Licha ya shida zao za kifedha, Barcelona walikutana na anayedaiwa kuwa mwakilishi…
Chelsea wako tayari kufanya mbinu mpya ya kumnasa Garnacho
Manchester United wamekata pauni milioni 5 kutoka kwa bei waliyotaka kumnunua Alejandro Garnacho, na ingawa hilo linamfanya winga huyo kufikiwa na Napoli, ripoti inadai Chelsea inapanga kuteka nyara uhamisho huo.…