Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 21, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 21, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Zaidi ya watu 10,000 waambukizwa ugonjwa wa rubella Afrika Kusini
Idara ya Afya ya Afrika Kusini imewatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko kubwa la wagonjwa wa rubella kote nchini humo hasa kutokana na kuripotiwa zaidi ya kesi 10,000 za watu walioambukizwa ugonjwa…
Russia imemhukumu raia wa Ukraine kwa uhaini
Russia imemhukumu mkazi raia wa Lugansk, mashariki mwa Ukraine, kifungo cha miaka 16 gerezani kwa ‘uhaini wa hali ya juu’. Hayo ni kulingana na maafisa wa usalama wa Moscow. Kila…
Muswada wa bajeti unaoungwa mkono na Trump wakwama
Mswada wa kufadhili bajeti ya serikali kuu unaoungwa mkono na rais mteule Donald Trump, umeshindwa kupitishwa na baraza la wawakilishi. Darzeni ya warepublican walikataa kufuata maagizo ya rais mteule Donald…
Hakuna Marbug tena Rwanda
Shirika la afya duniani WHO na serikali ya Rwanda, wametangaza leo ijumaa kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg, wenye dalili kama Ebola. Hii ni baada ya lkutangazwa maambukizi mapya…
Gabon: Katiba mpya yaidhinishwa na rais wa mpito
Gabon imeingia rasmi Jamhuri ya Tano tangu leo Alhamisiasubuhi. Nakala ya Katiba mpya, iliyopitishwa na kura ya maoni mnamo mwezi Novemba, imeidhinishwa mnamo Desemba 19, 2024 na rais wa mpito,…
Katibu Mkuu Kazi awafunda watumishi wa OSHA masuala ya kiutendaji
Watumishi wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) wametakiwa kuzingatia weledi katika kutekeleza jukumu lao la msingi la kusimamia usalama na afya mahali pa kazi ili kuwahakikishia…
Rais wa Kongo afanya mabadiliko makubwa jeshini
Rais wa Kongo Felix Tshisekedi amemuondoa mkuu wa majeshi na maafisa wengine wakuu wa jeshi katika moja ya mabadiliko makubwa katika miaka ya hivi karibuni yaliyofanywa na kiongozi huyo. Amri…
Urusi yafanya mashambulizi mfululizo kwa Ukraine
Urusi siku ya Ijumaa (Desemba 20) ilirusha msururu wa makombora kwenye mji mkuu wa Ukraine wa Kyiv, na kuua angalau mtu mmoja, na kupunguza joto katika mamia ya majengo katika…
Serikali yazindua nyumba 109 za waathirika Hanang
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 20, 2024 amezindua na kukabidhi nyumba 109 kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope yaliyotokea Desemba 03, 2023 Hanang, Mkoani Manyara. Nyumba hizo…