Napoli kwenye mbio za kumsajili Dorgu anayelengwa na Man Utd
Napoli 'wako karibu sana kufunga' dili la mchezaji anayelengwa na Man Utd Patrick Dorgu katika mpango ambao unaweza kumfanya winga huyo kusalia Lecce kwa msimu mzima uliosalia, kulingana na ripoti.…
Jack Grealish anasakwa na vilabu viwili vikubwa zaidi barani Ulaya
Jack Grealish anaripotiwa kuwa chini ya uangalizi katika vilabu viwili vikubwa vya Ulaya, huku nyota huyo wa Manchester City akiwa bado hajafahamika. Baada ya kujiunga na City katika rekodi ya…
Andres Garcia atua Aston Villa
Klabu ya Aston Villa ya Uingereza ilitangaza kumsajili beki wa kushoto Andres Garcia, akitokea klabu ya Levante ya Uhispania, katika mkataba ambao taarifa zake za kifedha hazikuwekwa wazi. Garcia anazingatiwa,kuwa…
Alonso ajibu kuhusu uhusiano wake na Real Madrid
Kocha wa Bayer Leverkusen Xabi Alonso alitoa maoni yake kuhusu uhusiano wake na kuifundisha Real Madrid iwapo Carlo Ancelotti ataondoka msimu ujao. Alonso alisema katika mkutano na waandishi wa habari…
Vlahovic kwenye rada za Barcelona
Klabu ya Barcelona ya Uhispania inaendelea kutafuta mshambuliaji mpya katika kipindi kijacho cha uhamisho wa majira ya kiangazi ili kuimarisha safu ya ushambuliaji, huku mustakabali wa Mpolandi Robert Lewandowski ukibaki…
Real Madrid yaaga ndoto ya kumsajili Davies
Vyanzo vya habari vimethibitisha kuwa beki wa kushoto wa Canada, Alphonso Davies aliamua kuongeza mkataba wake na Bayern Munich hadi 2030, baada ya mazungumzo ya mafanikio kati ya wakala wake…
Amkalia mtoto wake wa kumlea (10) hadi kufa kisa chatajwa
Jennifer Lee Wilson (49), Mwanamke kutoka Marekani amehukumiwa kifungo cha miaka sita Jela baada ya kusababisha kifo cha Mtoto wake wa kambo wa miaka 10 Dakota Stevens kwa kumkalia kwa…
Picha :Yanayojiri kwenye mkutano mkuu wa CHADEMA 2025
Yanayojiri kwenye mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA unaofanyika katika ukumbi wa Mlimani City viongozi tayari wamewasili ukumbini rasmi mkutano kuanza
Trump hakuweka mkono kwenye Biblia wakati wa kuapishwa kwake
Moja ya tukio ambalo mpaka hivi sasa ni moja ya matukio yenye mshangao na yakuzumgumzwa kwenye sherehe za uapisho nchini Marekani siku ya jana ni la Rais Donald Trump kutokuweka…
IDF inasema Wapalestina wanaweza kurejea kaskazini mwa Gaza wiki ijayo
Jeshi hatimaye limewaambia Wapalestina waliokimbia makazi yao kwamba wataweza kurejea kaskazini mwa Gaza kutoka kusini mwa Ukanda huo baada ya kufukuzwa mwanzoni mwa vita, ikiwa Hamas itaunga mkono makubaliano ya…