Urusi ipo tayari kwa mazungumzo na Ukraine :Putin
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, Alhamisi amesema yuko tayari kuafikiana kuhusu Ukraine katika mazungumzo yanayowezekana chini ya Rais-mteule wa Marekani Donald Trump, ili kumaliza vita na hakutoa masharti ya kuanza…
Kaka wa Pogba afungwa miaka 3 jela
Kaka yake Paul Pogba, kiungo wa zamani wa Manchester United, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela, miaka miwili ikiwa imepunguzwa, baada ya kukutwa na hatia ya kujaribu kumnyang'anya kaka yake.…
Idadi ya vifo kutokana na kimbunga Chido yaongezeka Msumbiji
Idadi ya vifo vinavyotokana na Kimbunga Chido nchini Msumbiji imeongezeka hadi 73, maafisa wa usimamizi wa majanga wametangaza Alhamisi. Katika taarifa mpya, Luisa Meque, Mwenyekiti wa Taasisi ya Kitaifa ya…
Kapinga atangaza fursa za uwekezaji nchini Saudi Arabia
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati kutokana na Tanzania kuzinadi fursa zilizopo kwenye maeneo…
Ugonjwa wa ajabu uliosumbua DRC Congo huenda ni Malaria :CDC
"Ugonjwa ambao haukujulikana hapo awali ambao umeuwa makumi ya watu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC huenda ukawa malaria, Shirika la Afya la Umoja wa Afrika," Africa CDC ilisema…
Ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere wafikia asilimia 99.55
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka…
TASAF ilivyogusa maisha ya wananchi wa Mdundwaro Peramiho, yakamilisha ujenzi wa Zahanati
WANANCHI wa Kijiji cha Mdundwaro kilichopo Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoani Ruvuma wameushukuru Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF)kwa kukamilisha Ujenzi wa nyumba za watumishi wa Zahanati ya Mdundwaro. Wamesema…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 20, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 20, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 20, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 20, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mbunge wa Same Magharibi atoa mchango wa Bilioni 1 kuboresha Maendeleo
Mbunge wa Same Magharibi, Dkt. David Mathayo, ameonyesha mfano wa uongozi wa vitendo kwa kutoa mchango wa zaidi ya shilingi bilioni moja ili kusaidia maendeleo katika jimbo lake. Fedha hizo…