Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 20, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 20, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mbunge wa Same Magharibi atoa mchango wa Bilioni 1 kuboresha Maendeleo
Mbunge wa Same Magharibi, Dkt. David Mathayo, ameonyesha mfano wa uongozi wa vitendo kwa kutoa mchango wa zaidi ya shilingi bilioni moja ili kusaidia maendeleo katika jimbo lake. Fedha hizo…
Vizuizi na vituo vya ukaguzi kwenye maeneo hatarishi barabarani viondolewe :Bashungwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kushirikiana na Wakala wa Barabara (TANROADS) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kufanya…
Kushuka kwa dola kutapunguza bei ya bidhaa: Rais Mwiny
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa kwa Uchumi kwani kutapunguza ugumu wa gharama…
“TRA Mkoa wa Tanga yatoa shukrani kwa Walipa Kodi”
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga imefanya ziara maalum ya kutembelea na kutoa zawadi kwa walipa kodi wanaotekeleza wajibu wao wa kulipa kodi kwa hiari. Lengo kuu la…
Ngo’s zatakiwa kufanya kazi Kwa kuzingatia maadili.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mashirika yasiyo ya kiserikali Taifa Bi. Mwantumu Mahiza amezitaka taasisi zisizo za Kiserikali (NGOs) Mkoani Morogoro kufanya kazi zao kwa uwazi, ukweli na kujituma zaidi kwa…
“Kesi za kuingiliwa kinyume na maumbile kwa wanaume ni nyingi” Jaji
Mwenyekiti wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji wa rufani, Barke Sehel amesema kesi za ubakaji na wanaume kuingiliwa kinyume na maumbile zimekuwa nyingi kiasi cha wao wenyewe kujiuliza…
Barcelona na Man Utd ‘wanafanya mazungumzo ya kubadilishana’ wachezaji
Manchester United wanaripotiwa kuwa wameanza mazungumzo na Barcelona kuhusu uhamisho wa Marcus Rashford kwenda Nou Camp na kusaidia kutimiza nia yake ya kuhamia LaLiga na Mashetani Wekundu hao wanaonekana kuwa…
TRA mkoa wa Iringa yaendelea kuwashukuru walipakodi
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoa wa Iringa imeendelea kuwatembelea na kuwashukuru walipakodi mkoani hapa kwa kuendelea kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi kwa wakati na kwa hiyari sambamba na…
De Bruyne anakaribia kuondoka Manchester City
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anasema Kevin De Bruyne anaweza kushiriki katika kikosi cha mabingwa hao wa Ligi ya Premia dhidi ya Arsenal wikendi hii, licha ya hofu ya…