Putin akaribisha mazungumzo na Trump, matumaini ya “Amani ya Kudumu”
Rais wa Urusi Vladimir Putin alisema Jumatatu yuko tayari kwa mazungumzo kuhusu mzozo wa Ukraine na utawala unaokuja wa Donald Trump wa Marekani, na kuongeza kuwa anatumai suluhu lolote litahakikisha…
Kiongozi wa Taliban aomba kuondolewa kwa marufuku ya elimu kwa wanawake na wasichana wa Afghanistan
Kaimu naibu waziri wa mambo ya nje wa kundi la Taliban amemtaka kiongozi wa kundi hilo kufuta marufuku ya haki ya kupata elimu kwa wanawake na wasichana wa Afghanistan, akisema…
WHO yaipatia Tanzania shilingi bil. 7.55 kupambana na ugonjwa wa Marburg
Shirika la Afya Duniani (WHO), limeipatia Tanzania shilingi bil. 7.55, ili kudhiti na kukabiliana na ugonjwa wa Marburg nchini. Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus,…
DC Mahawe azikwa leo,maelfu ya watu wahudhuria
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe, Ester Mahawe, amezikwa leo na maelfu ya watu nyumbani kwake Ngaramtoni ya chini jijini Arusha,huku akimwagiwa sifa za kuwa mstari wa mbele…
Iran yamhukumu kifo mwimbaji wa Pop kwa “kumtusi” Mtume Muhammad
Mahakama ya Iran imemhukumu kifo mwimbaji maarufu Amir Hossein Maghsoudloo, anayejulikana kama Tataloo, baada ya kupatikana na hatia ya kukufuru, vyombo vya habari vya ndani viliripoti Jumapili. "Mahakama ya Juu…
Ahukumiwa adhabu ya kifo kwa kumuua mpenzi wake kwa sumu
Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 amehukumiwa kifo huko Kerala Jumatatu baada ya kumuua mpenzi wake, karibu miaka miwili baada uchunguzi wa tukio hilo. Mwanamke huyo, Greeshma, alikuwa amempa kinywaji…
Trumps awasili White House kwenye sherehe ya Kuapishwa
Donald Trump na Melania Trump wamefika Ikulu ya White House na kukutana na Biden kabla ya sherehe ya kiapo ambapo anatazamiwa kula kiapo kama rais wa 47 wa Marekani siku…
Putin ampongeza Rais Trump kurejea tena White House
Rais wa Urusi Vladimir Putin siku ya Jumatatu alimpongeza Rais anayekuja wa Marekani Donald Trump kwa kurejea Ikulu ya White House, anapotarajiwa kushika madaraka yake baada ya sherehe za kuapishwa…
Ulinzi mkutano wa Chadema polisi wafunguka
Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewahakikishia ulinzi na usalama wakazi wote wa Dar es salaam na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA utakaofanyika kesho kwa ajili…
Ancelotti atangaza tarehe ya kuondoka Real Madrid
Kituo maarufu cha redio cha Uhispania "Onda Cero" kilithibitisha kwamba Mtaliano Carlo Ancelotti, kocha wa Real Madrid, amefanya uamuzi wa mwisho wa kuachana na timu hiyo mwishoni mwa msimu wa…