China yakanusha vituo vya siri vya polisi vilivyoilikiwa na raia wake New York
Mwanamume mwenye umri wa miaka 60 alikiri hatia Jumatano kwa kosa lake la kuendesha "kituo cha polisi" cha Kichina huko New York kama sehemu ya kampeni ya siri kufuatilia na…
Urusi yadai kukamatwa kwa vijiji viwili vipya mashariki mwa Ukraine
Urusi siku ya Alhamisi ilidai kuchukua udhibiti wa vijiji viwili vipya mashariki mwa Ukraine, karibu na mji wa viwanda wa Kurakhove ambao uko ukingoni kuuteka, mashirika ya habari ya Urusi…
Aliyemuekea mkewe dawa za kulevya kisha kuita watu zaidi ya 50 kumbaka akutwa na hatia
Dominique Pelicot mwenye umri wa miaka 72 amekutwa na hatia na Mahakama ya Ufaransa kwa kumuwekea dawa za kulevya Mke wake wa zamani, Gisele Pelicot na kuruhusu Wanaume zaidi ya…
Ulega atoa maagizo TANROADS kukamilisha miradi ya dharura
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini ya wizara hiyo. Waziri Ulega ametoa maagizo…
Wapalestina waishtaki wizara ya mambo ya nje kwa msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Israel
Familia za Wapalestina zinaishtaki Wizara ya Mambo ya Nje kutokana na msaada wa Marekani kwa kampeni ya kijeshi ya Israel katika Ukanda wa Gaza ambayo imeua makumi ya maelfu ya…
Vituo 47 vya kufundisha Kiswahili vyaanzishwa
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Paramagamba Kabudi amesema serikali kupitia Baraza la Kiswahili Tanzania, imeanzisha vituo 47 vya kufundisha lugha ya Kiswahili ili kukuza na kueneza lugha…
Serikali yajipambanua kuendelea kupigania haki za wenye ulemavu
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuwa mstari wa mbele kupigania usawa katika masuala ya kazi kwa watu wote bila kujali hali zao ikiwemo kuhimiza uwepo wa kazi zenye staha na…
Marekani yaripoti kesi ya kwanza ya binadamu ya mafua ya ndege
Marekani iliripoti kesi yake ya kwanza kali ya binadamu ya mafua ya ndege siku ya Jumatano katika mkazi wa Louisiana ambaye amelazwa hospitalini akiwa katika hali mahututi baada ya kushukiwa…
Washindi wa Shangwe la Sikikuu la LEONBET wapatikana, wabeba, Pikipiki, Smartphone, TV inchi 65
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya LEONBET imewazadia washindi wa kampeni ya Shangwe la Sikukuu zawadi kibao kwa kushiriki kampeni hiyo. Kampeni hiyo iliyoanza kwa kishindo, mpaka sasa imeshuhudia wateja…
Korea Kaskazini yakashifu uchokozi unaoongozwa na Marekani kuhusu kuhusika na Ukraine
Korea Kaskazini siku ya Alhamisi ilikemea "chokozi za kizembe" zinazofanywa na Marekani na washirika wake kwa kukosoa uungaji mkono wa Pyongyang kwa vita vya Urusi nchini Ukraine, ikiwa ni pamoja…