Israel yaapa kuwaangamiza viongozi wa Houthi
"Mkono mrefu" wa Israel utawafikia viongozi wa vuguvugu la Houthi la Yemen, Waziri wa Ulinzi Israel Katz aliapa siku ya Alhamisi, baada ya kuanzisha mashambulizi ya anga katika maeneo kadhaa…
China yavunja rekodi ya anga za juu ya Marekani
China imevunja rekodi inayoshikiliwa na Marekani ya safari ndefu zaidi duniani baada ya wanaanga wake wawili kukamilisha mwendo wa saa tisa wa anga za juu siku ya Jumanne. Wanaanga wa…
Mahakama ya Juu ya Marekani yakubali kusikiliza rufaa ya TikTok
Mahakama ya Juu ya Marekani ilikubali Jumatano kusikiliza rufaa ya TikTok ya sheria ambayo ingemlazimisha mmiliki wake wa China kuuza jukwaa hilo la kushiriki video mtandaoni au kulizima. Mahakama kuu…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 19, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 19, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Serikali kuchangia nusu ya bei za chanjo
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi itaanza Mpango wa Utoaji wa Chanjo na utambuzi wa Mifugo Kitaifa kuanzia Mwezi Januari 2025 ambapo Shilingi Bilioni 28.1 zimetengwa kwa…
Bashungwa atoa maagizo kwa IGP Wambura kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura kulisimamia Jeshi la hilo kufanya ukaguzi wa vyombo vya moto barabarani,…
Filamu ya Tantalizing Tanzania yazinduliwa rasmi nchini India
Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar imezinduliwa…
Rais Samia na Dr. Leakey kutunukiwa Tuzo Arusha
Tanzania inatarajia kuzindua Tuzo za Kitaifa za Utalii na Uhifadhi Desemba 20, 2024, ikiwa ni hatua ya kutambua na kuenzi mchango wa wadau wa sekta hizo. Rais Samia Suluhu Hassan…
TRA Iringa yaendelea kuwatembelea na kuwashukuru walipa kodi
Mamlaka ya Mapato Tanzania Mkoa wa Iringa Imeendelea Kuwatembelea na kuwashukuru walipakodi mbalimbali Mkoani hapa kwa kuendelea kutimiza wajibu wao wa kulipa Kodi kwa wakati Shukrani hizo zimetolewa leo 17.12.2024…