Serikali yajipambanua kuendelea kupigania haki za wenye ulemavu
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuwa mstari wa mbele kupigania usawa katika masuala ya kazi kwa watu wote bila kujali hali zao ikiwemo kuhimiza uwepo wa kazi zenye staha na…
Marekani yaripoti kesi ya kwanza ya binadamu ya mafua ya ndege
Marekani iliripoti kesi yake ya kwanza kali ya binadamu ya mafua ya ndege siku ya Jumatano katika mkazi wa Louisiana ambaye amelazwa hospitalini akiwa katika hali mahututi baada ya kushukiwa…
Washindi wa Shangwe la Sikikuu la LEONBET wapatikana, wabeba, Pikipiki, Smartphone, TV inchi 65
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya LEONBET imewazadia washindi wa kampeni ya Shangwe la Sikukuu zawadi kibao kwa kushiriki kampeni hiyo. Kampeni hiyo iliyoanza kwa kishindo, mpaka sasa imeshuhudia wateja…
Korea Kaskazini yakashifu uchokozi unaoongozwa na Marekani kuhusu kuhusika na Ukraine
Korea Kaskazini siku ya Alhamisi ilikemea "chokozi za kizembe" zinazofanywa na Marekani na washirika wake kwa kukosoa uungaji mkono wa Pyongyang kwa vita vya Urusi nchini Ukraine, ikiwa ni pamoja…
Israel yaapa kuwaangamiza viongozi wa Houthi
"Mkono mrefu" wa Israel utawafikia viongozi wa vuguvugu la Houthi la Yemen, Waziri wa Ulinzi Israel Katz aliapa siku ya Alhamisi, baada ya kuanzisha mashambulizi ya anga katika maeneo kadhaa…
China yavunja rekodi ya anga za juu ya Marekani
China imevunja rekodi inayoshikiliwa na Marekani ya safari ndefu zaidi duniani baada ya wanaanga wake wawili kukamilisha mwendo wa saa tisa wa anga za juu siku ya Jumanne. Wanaanga wa…
Mahakama ya Juu ya Marekani yakubali kusikiliza rufaa ya TikTok
Mahakama ya Juu ya Marekani ilikubali Jumatano kusikiliza rufaa ya TikTok ya sheria ambayo ingemlazimisha mmiliki wake wa China kuuza jukwaa hilo la kushiriki video mtandaoni au kulizima. Mahakama kuu…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 19, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 19, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Serikali kuchangia nusu ya bei za chanjo
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi itaanza Mpango wa Utoaji wa Chanjo na utambuzi wa Mifugo Kitaifa kuanzia Mwezi Januari 2025 ambapo Shilingi Bilioni 28.1 zimetengwa kwa…