Bashungwa atoa maagizo kwa IGP Wambura kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura kulisimamia Jeshi la hilo kufanya ukaguzi wa vyombo vya moto barabarani,…
Filamu ya Tantalizing Tanzania yazinduliwa rasmi nchini India
Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar imezinduliwa…
Rais Samia na Dr. Leakey kutunukiwa Tuzo Arusha
Tanzania inatarajia kuzindua Tuzo za Kitaifa za Utalii na Uhifadhi Desemba 20, 2024, ikiwa ni hatua ya kutambua na kuenzi mchango wa wadau wa sekta hizo. Rais Samia Suluhu Hassan…
TRA Iringa yaendelea kuwatembelea na kuwashukuru walipa kodi
Mamlaka ya Mapato Tanzania Mkoa wa Iringa Imeendelea Kuwatembelea na kuwashukuru walipakodi mbalimbali Mkoani hapa kwa kuendelea kutimiza wajibu wao wa kulipa Kodi kwa wakati Shukrani hizo zimetolewa leo 17.12.2024…
Tuzo za Uhifadhi kuchangamsha Utalii Arusha
Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza kutoa kwa mara ya kwanza tuzo za uhifadhi na utalii katika hafla itakayofanyika Arusha, Desemba 20 kwa lengo la kutambua mchango wa wadau mbalimbali…
Wanaume wawili wafariki baada ya kutumia kinyesi cha popo kama mbolea yakukuzia bangi
Wanaume wawili kutoka Rochester, Marekani, wamefariki dunia baada ya kuambukizwa Ugonjwa wa nadra wenye Sumu kuvu unaoshambulia mapafu, baada ya kutumia Kinyesi cha Popo kama Mbolea ya kukuza Bangi. Mmoja…
Hamas inahofia Trump atairuhusu Israel kuanzisha tena vita dhidi ya Gaza
Hamas ina wasiwasi kuwa rais mteule wa Marekani Donald Trump atairuhusu Israel kuanza tena mapigano huko Gaza katika kukamilika kwa awamu ya kwanza ya usitishaji mapigano wa hatua tatu ambao…
Jeraha jipya laikumba Bayern Munich kabla ya kukabiliana na Leipzig
Bayern Munich imepata taarifa mbaya leo, huku beki wa timu hiyo, Sasha Boye, akipata jeraha la kifundo cha mguu wa kushoto wakati wa mazoezi. Kulingana na kile kilichoelezwa kwenye tovuti…
Maonesho ya Biashara na Uwekezaji yamefunguliwa rasmi mkoani Pwani
Maonesho ya Biashara na Uwekezaji yamefunguliwa rasmi siku ya leo na Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Seleman Jafo ambapo amesema kuanzia mwakani maonesho yatakuwa ya Kitaifa na yataandaliwa na…
Rais wa Comoro atangaza wiki moja ya maombolezo ya kitaifa baada ya Kimbunga Chido
Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro ametangaza Jumatatu wiki moja ya maombolezo ya kitaifa baada ya Kimbunga Chido kupiga kwenye kisiwa jirani cha Ufaransa cha Mayotte ambapo mamlaka inahofia…