Mkenya ahukumiwa miaka 50 kwa mauaji ya mwanaharakati wa LGBTQ+
Mpiga picha wa Kenya Jacktone Odhiambo amehukumiwa kifungo cha miaka 50 jela kwa kumuua mwenzake wa nyumbani, mwanaharakati wa LGBTQ+ Edwin Kiprotich Kipruto, maarufu kama Edwin Chiloba, karibu miaka miwili…
Dybala anakaribia kuondoka Roma
Baadhi ya ripoti za vyombo vya habari leo zimefichua kwamba Klabu ya Roma inataka kumuuza nyota wa Argentina, Paulo Dybala, wakati wa kipindi cha uhamisho wa majira ya baridi kali.…
Watatu mbaroni tuhuma mauaji kada CCM mkoani Iringa
JESHI la Polisi mkoani Iringa linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Christina Kibiki. Kada huyo aliuawa…
Adele adaiwa kuiba wimbo “Million Years Ago,”
Jaji wa Brazil ameamuru wimbo wa mwimbaji nyota wa pop wa Uingereza Adele,"Million Years Ago,"ufutwe kwenye majukwaa ya muziki duniani kote ikiwa ni pamoja na huduma za utiririshaji kutokana na…
Maoni ya kwanza kutoka kwa Modric kufuatia uamuzi wa kumsimamishwa kazi
Mchezaji wa Ukraine Mykhailo Modric, nyota wa timu ya Chelsea ya Uingereza, alitoa maoni yake juu ya uamuzi wa kumsimamishwa baada ya sampuli yake kuonesha matumizi ya dawa za kusisimua…
Wanajeshi wa Korea Kaskazini wameuawa wakipigana na Ukraine, inasema Marekani
Wanajeshi wa Korea Kaskazini wameuawa wakipambana na vikosi vya Ukraine katika eneo la mpaka la Kursk nchini Urusi, Marekani imesema. Hawa watakuwa majeruhi wa kwanza kuripotiwa tangu ilipoibuka mwezi Oktoba…
Iran yasitisha sheria mpya yenye utata ya kanuni za mavazi
Baraza la Usalama la Taifa la Iran limesitisha utekelezaji wa "sheria ya hijabu na usafi wa kimwili" yenye utata, ambayo ilikuwa ianze kutumika siku ya Ijumaa. Rais Massoud Pezeshkian aliita…
Hii hapa kolabo ya pamoja kutoka kwa Country Whiz, Conboi, Msamiati, Moni Centrozone
Ni wakali wa Hip Hop mwenye rekodi zao kali namzungumzia Country Wizzy, Conboi, Msamiati, Moni Centrozone ambao wameshirikishwa kwenye ngoma ya pamoja Johari Gin (Cypher) 2024 Unaweza ukabonyeza play kuitazama....…
Salah na Hakimi wako kileleni mwa kikosi bora zaidi barani Afrika
Klabu ya Liverpool ipo kwenye mzungumzo na nyota wao raia wa Misri Mohamed Salah kwa ajili ya kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kusalia Anfield. Taarifa kutoka Uingereza zinaripoti kuwa mazungumzo…
Papa afichua kuwa alilengwa na jaribio la bomu la kujitoa mhanga wakati wa ziara yake nchini Iraq 2021
Papa Francis amefichua kuwa alikuwa mlengwa wa jaribio la shambulio la kujitoa mhanga wakati wa ziara yake nchini Iraq miaka mitatu iliyopita, safari ya kwanza ya papa wa kanisa katoliki…