Takriban miili 100,000 yazikwa katika kaburi la pamoja la Syria
Kaburi la pamoja nje ya Damascus lilikuwa limezikiwa miili ya watu 100,000 waliouawa na utawala wa Rais aliyepinduliwa Bashar al-Assad, kulingana na mkuu wa Kikosi Kazi cha Dharura cha Syria.…
Aliyejikojolea shughulini, alaumu waandaaji wa shughuli kwa ukosefu wa vyoo
Mwanaume mmoja jijini Mumbai, India, amejikuta katika hali ya aibu baada ya kujikojolea wakati wa tamasha akilaumu Waandaaji kwa tamasha hilo kushindwa kuweka Vyoo vya kutosha kwa Wahudhuriaji. Sheldon Aranjo,…
Mlipuko waua jenerali wa Urusi aliyeidhinishwa kwa matumizi ya silaha za kemikali nchini Ukraine
Jenerali mkuu wa Urusi anayeshutumiwa na Ukraine kwa kuhusika na matumizi ya silaha za kemikali dhidi ya wanajeshi wa Ukraine ameuawa mjini Moscow kwa kutumia bomu lililofichwa kwenye skuta ya…
Nyota wa Brazil Ronaldo kugombea urais wa CBF
Mshambulizi wa zamani wa Brazil Ronaldo atawania kiti cha urais wa shirikisho la soka nchini humo (CBF), mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 48 alisema Jumatatu. Ronaldo, ambaye alishinda Kombe…
Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 21th Mbudya Island DSM
Good news ninayotaka kukusogezea kwa wewe mpenda burudani hususani muziki wa Afrika Kusini unaotamba kwasasa maarufu kama Amapiano. Ni kwamba warembo wanaounda kundi la liitwalo Tango Supreme wanatarajiwa kuzichezesha live nyimbo…
Rais Mwinyi akutana na tume ya maboresho ya kodi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Tume ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Zanzibar…
Watoto wawili wadaiwa kujinyonga kwenye maeneo tofauti mkoani Tabora
Watoto wawili Gilson John Charles (13) mkazi wa mtaa wa Mpera na Ramadhani Sabayi(10) mkazi wa kata ya Malolo manispaa ya Tabora wameripotiwa kujinyonga katika matukio mawili tofauti huku mmoja…
Serikali mjini Njombe yawataka wanaofanya biashara maeneo yasiyo rasmi kutoka kwa hiari
Serikali mjini Njombe imewataka wafanyabiashara wanaofanya biashara zao kwenye maeneo yasiyo rasmi kuondoa biashara zao kwa hiari kwa kuwa serikali imetenga maeneo rafiki kwa wafanyabiashara na wajasiriamali kwa ajili ya…
IMF yapongezwa kwa kubuni miradi mbalimbali
Mwanajumuiya wa Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) (Alumni) Abdulmajid Nsekela amempongeza Mkuu wa chuo hicho Profesa Josephat Lotto na timu yake kutokana na kubuni mikakati mbalimbali kwa ajili ya…
Gavu ataka kasi zaidi kuongeza wanachama jumuiya za chama
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) Oganaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Issa Gavu ameitaka Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)kuongeza kasi ya kuongeza wanachama wake na kufikia…