Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 17, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 17, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 17, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 17, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Tuwainue wabunifu wazawa kuwanadi kimataifa – Dkt. Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa pamoja na jitihada za kuwainua wabunifu wawekezaji nchini, bado kuna umuhimu mkubwa wa kuwawezesha wabunifu wetu kukua…
Vurugu Arusha viongozi wa serikali watumbukizwa kwenye maji machafu wafunga barabara
Mamia ya wananchi wa kata ya murieti mtaa wa kimara mwisho katika jiji la Arusha wameandamana kwa kufunga barabara zaidi ya saa 6 huku wakiwatumbukiza kwenye madimbwi ya maji machafu…
Ahukumiwa jela kwa kusimamia tovuti za ponografia akimshirikisha dada yake
Mwanaume mwenye umri wa miaka 37, Tan Wee Quan James, amehukumiwa kifungo cha wiki tatu baada ya kupatikana na hatia ya kusimamia tovuti tisa za ponografia, akimshirikisha dada yake kwenye…
Wahindisi wazuri wanatakiwa kutiwa moyo wa kuwa viongozi wazuri wa sasa na baadae
TAASISI ya Seris Foundation kwa kushirikiana na Smarcon Tanzania Limited na Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB) wameendesha warsha ya programu mpya za Kihandisi zilizoingia sokoni hivi karibuni kwa ajili…
Wananchi waonywa kujiandikisha zaidi ya mara moja katika daftari la kudumu la mpiga kura
Makamu Mwenyekiti wa Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, Jaji(R) (MST) Mbarouk S. Mbarouk amewataka Watanzania kutojiandikisha jina lake zaidi ya mara moja katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura…
Karim Benzema anaweza kustaafu mwishoni mwa msimu huu
Mshambulizi Mfaransa Karim Benzema, ambaye alikuwa na maisha mahiri ya soka katika klabu ya Real Madrid na sasa anachezea Saudi Arabia, huenda anakaribia mwisho wa siku zake za kucheza Kulingana…
Watu wasiopungua 20 wapoteza maisha kwenye Mto Benue nchini Nigeria
Takriban watu 20 wamekufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama kwenye Mto Benue wa katikati mwa Nigeria. Serikali ya eneo hilo imethibitisha habari hiyo na kusema kwamba,…
Mshambulizi wa zamani wa Real Madrid kwenye rada za Al-Ahly
Baadhi ya ripoti kwa vyombo vya habari zilifichua kuwa kuna wachezaji kadhaa waliotolewa kwa Klabu ya Al-Ahly ya Misri ili kuwasajili kwa ajili ya kujiandaa na Kombe la Dunia la…