Top Stories

Bilioni 4 kutumika kumwagilia dawa kutokomeza Malaria (+video)

on

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ikishirikiana na USAID imetoa kiasi cha Shilingi Billion 4.13 kwa ajili ya zoezi la umwagiliaji wa viwatilifu ukoka majumbani kwa ajili ya kutokomeza ugonjwa wa malaria katika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma ambayo inakabiliwa na maambukizi ya malaria kwa 25.8%.

FULL VIDEO HD: UPEPO WA KISULISULI – BUGANGA (WIMBO)

Soma na hizi

Tupia Comments