Karibu kwenye FIESTA 2017, Karibu FIESTANI Leaders Club Dar es salaam ambako ndiko fainali yenyewe imefanyika…. hii ni ya Ben Pol ambapo aliwapandisha kwa suprise Tausi na Ebitoke mziki ukaamia kwenye mabishano….. play hapa chini kujionea
VIDEO: WASANII WALIVYOINGIA KWA MKWARA FIESTA LEADERS DAR ES SALAAM, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA