Ni Usiku wa Mei 25 , 2016 ambapo muunganiko wa ladha mbili tofauti kutoka Tanzania na Kenya unagusa headlines za burudani baada ya wasanii wawili Baraka Da Prince na Prezzo kuingia studio na kuandaa single yao mpya itakayotoka hivi karibuni.
Single hiyo mpya imetayarishwa katika studio za Fishcrab chini ya producer Sappy, hizi ni baadhi ya picha kutoka studioni hapo.
ULIIKOSA HII YA BARAKA DA PRINCE KWENYE STAGE MOJA NA MPENZI WAKE NAJ ITAZAME HII VIDEO HAPA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE