Tunae Baraka The Prince time hii ambae alikua kimya kwa muda toka alipotangaza kujitoa kwenye label ya Rockstar, ngoma yake mpya kwa sasa inaitwa ‘furaha’ unaweza kuitazama kwa kuplay hapa chini
https://www.youtube.com/watch?v=Buqch_BKUdY
VIDEO: BARAKA THE PRINCE ALIVYOMUITA NAJ KWENYE STAGE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
VIDEO: SIKU NNE ZA NAJ ALIPOKAA NA MAMA YAKE BARAKA THE PRINCE NA ALICHOAMBIWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA