Wakati mwingine unaweza kujiuliza kwamba inakuwaje mpaka fulani anakosa kwenye list ??!! Ishu ni VIGEZO na MASHARTI mtu wangu !!
Watu wa Billboard wametoa list ya wakali 10 ambao wameingia kwenye orodha ya rappers wakali waliowahi kutokea duniani… japo wamejitetea kuhusu vigezo vyao kwamba ili mkali wa rap aingie kwenye list yao lazima viangaliwe vigezo fulani.
Lakini watu wengi wamekosoa hii list ambapo wakongwe kama Marehemu 2 Pac, Kanye West na Dr. Dre hawajatajwa !!
List yote hii hapa kuanzia wa 10 mpaka namba moja.
Lakini kwenye utetezi wao Billboard wenyewe walitoa sentensi hizi.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.