Shughuli za kukarabati zinaendelea kwenye jengo ya bunge baada ya upepo mkali kung’oa sehemu za paa la jengo hilo siku ya Jumanne jioni February 1 2017.
Tukio hilo lilisababisha kusitishwa ghafla kwa vikao vya bunge hilo la Ghana baada ya mvua kuanza kuingia ndani ya jengo ambapo Wafanyakazi walijaribu kukinga baadhi ya maeneo yaliyoachwa wazi kwa kukusanya maji wakitumia ndoo.
BBC SWAHILI wameripoti kwamba jengo hilo la bunge lililopo kwenye mji mkuu wa Accra mara ya mwisho lilikarabatiwa miaka miwili iliyopita.
ULIPITWA? Umewahi kumuona Profesa Jay akichangia Bungeni? bonyeza play kwenye hii video hapa chini